Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

SGR, Rufiji Dam ni picha tu zile....🤣

CAG kaamua kishabiki kusema bila aibu akiwa na watendaji wale wale....akitaka kujikomba kwa mama kumbe anachotwa akili!

wa kujiuzulu sio PM tu hata Rais!!!!

Hakuna namna watamzima kirais JPM, he is here to stay with us for long long time
Rais wa sasa alikuwa msaidizi namba mbili wa rais hawezi kukwepa yaliyomo kwenye hii ripoti kwa sababu naye alikuwa sehemu ya serikali
 
Kubalinini matokeo kuwa sasa hamna tena sehemu ya kwenda kuuza umbeya na unafiki.

Mama yetu Samia hana muda na wachawi kama nyinyi MATAGA.
Mama Samia ni ccm na anakwenda kuwa mwenyekiti wa ccm, soon mtaanza kumponda madongo, tunawajua na tumewazoea.CCM ni nambari one Afrika, ndiyo maana tukiwaambia hamuwezi na hamna mikakati ku deal na ccm mnabisha.
 
Hakuna aliyefisadi kwenye utawala wa Magufuli,watu hawajaelewa tu, ilikuwa ni hela ilikuwa ikihitajika site ilitoka on time na ilifika site on time bila ya kufuata taratibu. Magufuli aliamini sheria zilizopo ni mbovu zinachelewesha maendeleo.
Ndio maana alifika sehemu Kuna mradi au uhitaji wa mradi hapo hapo aliagiza billions of money kuolewa kwa dharura ndani ya siku chache na mambo yalienda. Hospital kila wilaya, vituo vya afya, kila halmashaur Kuna lami, shule kongwe kufanyiwa ukarabati,nyuma za askar magereza kujengwa, ikulu na maofisi, mahakama n. k. Wamuache mtu huyu wa kipekee. T unakoelekea ni kugumu, Rip Magufuli.
Mkuu serikalini ukishafanya matumizi ya fedha bila kufuata taratibu za manunuzi zilizopo kisheria, huo ni mwanya mkubwa wa upigaji. Ukisoma Ripoti ya CAG upotevu mkubwa wa fedha za umma umetokana na mwanya huo.
Hakuna Tender, hakuna Tender evaluation, Contract negotiations hakuna, Contracts hakuna, certificate hakuna wala risiti. Ni maagizo tu, matokeo yake ukiagiza watoe bilioni moja wao wanatoa bilioni 3.
Au unakuta client pia ni consultant na pengine pia ni contractor pia, kwa tu ni taasisi ya serikali.
Pamoja na urasimu hizi taratibu za kibajeti na manunuzi zinasaidia sana kudhibiti ubadhirifu.
 
Ukisoma mitandao ya kijamii hasa twitter utafikiri kweli hii nchi imeibiwa kila kitu na hakuna kitu kimeachwa, kumbe sio kweli.

Watu wanajifanya kushangaa ATCL kupata hasara, hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kushangaa atcl kupata hasara? By the way, ni shirika gani la serikali linalopata faida? Lipi? Mashirika yote ni hasara kila mwaka kuanzia Tanesco, TPDC, TTCL, ATCL, NHC na mengine yote, kwa nini shida iwe kwa ATCL?

Halafu watu wanataka kusema Magufuli ange eliminate rushwa ama wizi wa mali za umma 100%, hilo jambo halipo Duniani. Duniani kote, kuanzia China ambapo kosa la rushwa unaweza kuuwawa ama Marekani ambapo mifumo iko strong bado watu wanaiba na kula rushwa, tusimsingizie Magufuli kwa kila kitu.

Kuna kikundi ama kingenge cha wahuni sijui kinalipwa na nani kutaka kumchafua Magufuli na report ya cag
20210409_001837.jpg
 
Mama Samia ni ccm na anakwenda kuwa mwenyekiti wa ccm, soon mtaanza kumponda madongo, tunawajua na tumewazoea.CCM ni nambari one Afrika, ndiyo maana tukiwaambia hamuwezi na hamna mikakati ku deal na ccm mnabisha.
Ccm nambari moja Afrika kwa kuiba na kufisadi matrillioni ya fedha za watanzania.

Kumbe mradi wa kununua madege ilikuwa ni njia ya upigaji.

CAG amesema kabisa kuwa midege haiwezi kuruka kwenda nje ya bara la Afrika maana zitakamatwa
 
Nadhani unatambua kwamba ya kwako ni “minority thinking [emoji189].” Wewe nakuona sana hapa JF, kila kitu unaangalia kishabiki bila facts, hata kama unamchukia vipi hayati JPM, hivi ni kweli hakuna la kukumbuka katika aliyofanya??
Labda ufisadi kushamili kwa speed ya ajabu kwa mjibu wa CAG
 
Mwana kijiji na we kaandae ripoti yako kumpinga Cag full stop. Write your reply...
Absolutely, alete maelezo ya tamasha la Kigwangala na EFD receipts, atuonyeshe ile ndege iliyofanyiwa ukarabati wa 3.92Bn ikiwa inaruka na kufanya safari, atuonyeshe magari ya wizara yaliyonunuliwa, ambayo kwenye makaratasi pesa zimetoka, ila wizarani magari hayajafika.n.k.

Issue ni jinsi mwendazake alivyokuwa anajipambanua na wapambe wake kuwa alikuwa perfect, utawala wake hauna ufisadi kama watangulizi wake, yako wapi, tena wamekuwa wanajipigia Bilions zamani ilikuwa mamilioni.

Ooh Rais wa wanyonge, ooh tumeibiwa sana, kumbe naye alikuwa na kiu kama wenzake, ELSE mikataba ingewekwa waziwazi, tuione, siyo yeye tu na Kabudi waisome.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Ccm nambari moja Afrika kwa kuiba na kufisadi matrillioni ya fedha za watanzania.

Kumbe mradi wa kununua madege ilikuwa ni njia ya upigaji.

CAG amesema kabisa kuwa midege haiwezi kuruka kwenda nje ya bara la Afrika maana zitakamatwa
Mwenda zake hakutumia akili kabisa aisee!
 
Majizi wakubwa na waramba miguu kama wewe kazi yenu ikiwa kupiga zumari.

Mabillion kibao mmekwapua sasa subirini mama Samia awatupe segerea ili mkasege dance
Hiyo ni pipe dream, pesa lazima ishugulikiwe. Tumekuwa Chadema miaka 20 njaa inatuua , tubaki hapo hapo kama wewe mmawia ili tuwe tunalalamika kila kukicha ? Na hata mama Samia kwenye Ufalme wake tunae.
 
Kuwa karibu na mama Samia hilo msahau maana tayari tushampatia watu hatarishi kwenye utawala wake na anawajua vizuri.
 
Back
Top Bottom