Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Ukitaka kujua motive zao jaribu kufikiria waliposimamia, mama Samia anatuambia hata madini adimu ambayo mwenda zake aliyaangalia Kwa wivu wa kupindukia tuwaachie waje tu wachimbe, Ndugai anasema Kwa SGR wajichange wabunge walete hayo mabehewa, mchina tunaejua anavyofuonza damu aje tu ajenge bagamoyo. Hapo mie naamini hawa ni majambazi walio na agenda zao Ila muda utaongea
Ni Magufuli huyo huyo mwezi December mwaka jana aliyetuambia kuwa ameongea na Rais wa China kwa kirefu sana na kumsihi sana aje Tanzania kuwekeza kwenye miundo mbinu, SGR, Mabwawa ya umeme nk.
Na kusisitiza Magufuli alisema wachina ni rafiki zetu wa kweli, toka enzi za uhuru na kamwe hatupaswi kuwaacha!

Kipi leo cha ajabu wanasiasa wa CCM wakisema mchina aje kuwekeza Tz?

Akija mzungu (beberu) mnasema anatudhulumu, akija mchina mnasema anatuibia, tukisema wazawa (wabongo) tujaribu mnasema wababaishaji, tukiiachia serikali yenyewe mnasema viongozi ni mafisadi, sasa aje nani?
 
Nakubaliana nawe unaposema waziri mkuu ajiuzulu,
1.) Huyu waziri mkuu alienda bandari akashindwa kuzima matumizi mabaya (wizi) usiendelee na alipoondoka hakurudi kufatilia kinachoendelea!!
2.) Alitetea ununuzi wa madege na kushawishi uendelee huku akijua hasara tunayoingia nikubwa wastani bilioni 32 kilamwaka. Pia ya sgr hakuyafatilia!
3.) Wizara ya maliasili na utalii kutumia pesa hovyo kufanya matamasha kwa jina lamtu ili kumpa umaarufu kigwangala
tunayejua anautamani urais 2025...naye kukaa kimya.
4.) Waziri mkuu ameshindwa kumshauri vyema rais kwenye miradi yooote mikubwa kuanzia Nyerere dam,sgr,daraja busisi,kuhamia Dom ambavyo vyote tukizama kuchunguza tutaibua madudu kibao
5.) Alidanganya taifa kuhusu afya ya Rais wao na amiri jeshi mkuu! Afya yake sio siri watanzania waliompenda sana wangeambiwa ili wakeshe wakimwombea kama walivyokeshea korona.
6.) Hata kuhusu magari ya wakurugenzi alishtuliwa na msukuma nayeye kulirukia! Inamaana hajui yanayoendelea chini ya ofisi yake na hakuna hatua zawazi ninini kilifuata kurekebisha makosa!
7.) Janga la korona ameshindwa kuweka wazi msimamo wa serikali ni upi na wajibu wa wananchi ninini na serikali inapambana vipi?
8.) Kuhusu kutoroshwa madini,anategea rais wasasa aseme! Yeye alichukua hatua gani haeleweki. Alijigeuza waziri tamisemi akikagua viujenzi vya vituo vyapolisi,zahanati nk.
9.) Elimu yetu zaidi ya kuwa bure ilipaswa kwanza kuwa bora,imwandae kijana kuwa hodari wa kazi anuwai,michezo,Sanaa nk. Ajabu wakitoka vyuoni vijana wanajua zaidi kulalamika,kunywa pombe,kutongozana na kuvaa vimodo...ameshindwa kuboresha elimu yetu.
10.) Alifeli kabisa kushauri na kuchochea demokrasia,amani,utulivu,maisha bora na haki kwa wote!
Wafanyakazi wanakatishwa tamaa hamna madaraja,wafanyabiashara kodi za vitisho, ajira zashida elimu,afya nk.
Kilimo na masoko tabu,korosho yetu na pamba vimeanguka,mafuta being juu!!
Kiufupi waziri mkuu Vila kuangalia umaridadi na mwonekano anapaswa kujiuzulu maramoja amelikwamisha taifa vibaya! Aachie ofisi akaisimamie Namungo huko
 
Mnajitahidi kupaka rangi kaburi lakini kilichomo ni uozo mtupu.

“Nilibaini kuwa wakala wa ndege za Serikali ililipa bilioni 3.92 Kama gharama za matengenezo makubwa ya ndege. Baada ya ziara nilibaini ndege ilikuwa haifanyi kazi toka 2015.” CAG.
 
Mzee Mwanakijiji,

..nadhani makelele kuhusu ripoti ya cag ni matokeo ya marehemu jpm kunyima wananchi nafasi ya kutoa maoni na kuikosoa serikali.
Mkuu na kitu kikubwa kinachobainishwa hapa ni kwamba MAWAKALA wa utawala ule wameachwa njia panda bila maandalizi yoyote ya vipi wataendelea huko mbeleni.

Kifupi muda umeamua kabla ya muda.

Kama yule pepo alivyomuuliza Yesu kuwa "tuna nini nawe? Au umekuja kututesa kabla ya muhula wetu?"

Kifo cha Magufuli hakikutarajiwa, na mawakala wake hawakuwa wamejiandaa kupaua viota vyao maana walikua na hesabu za mbele zaidi ya 2025!!

Wamekuja kuteswa na kuumbuka kabla muhula wao.

Muda ni hakimu wa yote.
 
Nime note kitu kimoja kutoka kwako nayo ni 'wapinzani' kumbe ulishajiweka tawi la watawala?

Ok ni haki yako lakini kwa binadamu kamili angehoji je, kwanini aliyeninasibu kuwa msafi mithili ya sufi apende kufanya mambo gizani kiasi kile?

Kweli mtu msafi ajiondoe kwenye mikataba ya uwazi?

Kwanini mtu msafi hakuitaji transparency ili umma umsaidie kuwa msafi?

Mnachofanya sasa ni nafsi zinawasuta, mmeachwa kwenye tope msijue nani atawachomoa, mli compromise nafsi zenu kwa vitu vya kipuuzi na kishenzi.

Kinachowauma zaidi mlizoea kuuza maneno sasa hakuna atakaewaamini tena.

Kwa tuliomfahamu Magufuli tangu enzi hatukua tayari kuuza nafsi zetu kwa sifa za kipuuzi na kijumla jumla namna ile.
Pole sana mtafute kazi ya kufanya sasa.

Kwanini mtu msafi hakuitaji transparency ili umma umsaidie kuwa msafi?[emoji1752][emoji1752][emoji1752]
 
Wewe umeamua kuwa mjinga na sio kuwa watu nafsi zinawasuta

Kwako serikali iliyopita ni JPM!!! sio watendaji sasa hapa usaidiwe nini???

Na hao unaosema wala rushwa si ndio hawa hawa walikuwa madarakani na bado wapo??😜

Shida yako ni uwazi? upi?

umeulizwa hivyo vitu vinajengeka? vipo? vinaonekana? sasa kama mtendaji aliamua kuwa apige kazi na siasa zako weka pembeni...that is a true definition ya mwanaume

Labda na wewe unaungana na wale wajinga wanaodhania JPM alikuwa mpigaji? kwa nguo zile na maisha yale kwake nyumbani mpaka hana paved blocks?

JPM angekuwa mroho wa hela angekuwa tajiri kuliko mengi, bakhresa na manji...kakaa wizara ya ujenzi miaka mingapi?...

sasa huwa tunapenda muwaze pande hizo kuwa HE IS MOTIVE was pure, genuine and good...

ila ukiwasikiliza watanzania kama wewe nchi haiendi mahali hii....he decided is own way.....alifaulu JPM...wala report ya CAG isikupe faraja yoyote
Comment yako nitaisave kwa heshima, vita aliyokuwa anaiongelea Magufuli nimeielewa, kwamba maadaui wengine wapo ndani na huwaoni kutokana na pambio za sifa.

Mfano hai ni Ndugai ambaye jamaa alihakikisha anaheshima ya soko kubwa la kisasa Dodoma, leo atakuambia mzee wetu alishauriwa vibaya, ila fedha za ujenzi ule angepewa aweke kibindoni asilimia kadhaa asingeweza kwenda opposite na mwendazake.

Wanamipango yao ovu sana inakuja, Mungu atunusuru.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Mwanakijiji,
Zamani kuna watu walikuwa wanaitwa Nyumbu, mie nilikuwa sijui, sasa ndiyo nimeamini humu Nyumbu ni hawa wafuasi wa wapinzani, sometimes na wapinzani wenyewe. Kwanza wana attack individual, wanasahau kuwa system ndiyo mbovu. Angalia wamesahau kabisa kuwa Kikwete ndiyo alikuwa mtesaji wao kile kipindi cha awamu ya nne, sasa kawa JPM. Hawajui hao wote ni system ambayo ipo na CCM, na itakuwepo wakati wote.

Pili baada ya kifo cha JPM wanaongea mengi sana, ok I am independent, sikupenda JPM his part of human rights, lakini kwa kazi zake ni nani kama yeye? Sasa angalia Nyumbu wamebadirishiwa "narrative" na hiyo hiyo system kuwa JPM alikuwa fisadi sasa wanaamini na kushangilia ati mnaona? Ukweli upo pale pale CCM na system iliyopo ndivyo ilivyo. Angalia huyu mama Samia, mimi naona ni mama wa Mipasho tu, alikuwa na magufuli pamoja yeye ni VP atajitengaje na yale aliyoyafanya magufuli?? Or let say, JPM was sleeping with the Devil? Unam-support mtu kwa maneno kumbe moyoni sivyo? What I am seeing ni kuwa huyu Mama wa Mipasho na JK were very patient, the Vultures, are Patient Birds. Na kweli sasa wanabadirisha "Narrative" sasa Nyumbu wanashangilia. Hawajui kuwa muda si mrefu watalia.

Halafu kuna Group la tatu, hawa watendaji waliokuwa na JPM, wachumia tumbo. Hawa lazima waonyeshe mwelekeo wao maana lazima wajue watakula wapi. Kama tunavyoona Ngugai, kabadirika ghafla, CAG kabadirika ghafla, HK kabadirika ghafla, Nape katoa makucha, they must show where they are.

"The way the coockie crumbles" JPM itakuwa ndvyo alifikiria alipoona kifo kinakuja, we only live once!!
 
Eti hata magufuli bus terminal haifai duh kwa kuwa yeye anatembelea v8
Kwa Magufuli bus terminal nakubaliana na CAG, iko karkbu sana na barabara. Hilo kwa mtu ambae unaona mbali lazima utaliona tu.

Sijui kwa nini watanzania tunapenda kujenga karibu na barabara. Ile stend iko karibu sana na barabara.

Stend kubwa kama ile ilipaswa kuwa angalau 2 km nje ya barabara.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Hawatakuelewa, watu wako bize kummezea mate mlegeza macho kwa udini. Wanapiga nae pambio mnafiki namba moja wa taifa, limbukeni wa madaraka mkojoa kwa kukaa yule. Bullshit.
 
Repoti ya CAG aliyepita ilikuwa na madudu mengi lakini tuliona jinsi alivyodhalilishwa prof. Asad hata kufikia kutenguliwa kabla ya wakati wake wa retirement, na ile repoti ilifanyiwa nini? CAG huyu kafanya kazi yake na kubainisha huu ubadhirifu na utumiaji mbaya wa mali za umma na madaraka, hivyo basi tunaliomba bunge lilifanyie kazi hii repoti ili tuwe na uwajibikaji wa watumishi wa umma. Hakuna ubushi kuwa Magufuli kafanya mazuri katika maendeleo ya nchi lakini utawala wa sheria ndiyo unaohitajika.
 
Nime note kitu kimoja kutoka kwako nayo ni 'wapinzani' kumbe ulishajiweka tawi la watawala?

Ok ni haki yako lakini kwa binadamu kamili angehoji je, kwanini aliyeninasibu kuwa msafi mithili ya sufi apende kufanya mambo gizani kiasi kile?

Kweli mtu msafi ajiondoe kwenye mikataba ya uwazi?

Kwanini mtu msafi hakuitaji transparency ili umma umsaidie kuwa msafi?

Mnachofanya sasa ni nafsi zinawasuta, mmeachwa kwenye tope msijue nani atawachomoa, mli compromise nafsi zenu kwa vitu vya kipuuzi na kishenzi.

Kinachowauma zaidi mlizoea kuuza maneno sasa hakuna atakaewaamini tena.

Kwa tuliomfahamu Magufuli tangu enzi hatukua tayari kuuza nafsi zetu kwa sifa za kipuuzi na kijumla jumla namna ile.
Pole sana mtafute kazi ya kufanya sasa.
Msukuma huyo usisahau
 
Nimesoma lakini sijaelewa unataka kufikisha ujumbe gani.
Anachojaribu kusema ni hiki

Kama Magufuli alikuwa nduli, fashisti na fisadi basi alikuwa mzuri. Mtu Fisadi anakwapua pesa halafu anapeleka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabara nk hadi vichochoroni. Mistendi kibao hadi mingine inaitwa stendi ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao.

Lingebaki liendelee kufisadi na kupelekea wanyonge

Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi Papa Magufuli na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili
 
Kweli mtu msafi ajiondoe kwenye mikataba ya uwazi?

Kwanini mtu msafi hakuitaji transparency ili umma umsaidie kuwa msafi?[emoji1752][emoji1752][emoji1752]
Mkuu ukiweza tuwekee mkataba wa bandari ya Bagamoyo (J.K), at least Magu alikuwa akitupatia hints za mikataba, ule wa madini nilishuhudia live wakiungolea, na mingine mingi.
 
Nime note kitu kimoja kutoka kwako nayo ni 'wapinzani' kumbe ulishajiweka tawi la watawala?

Ok ni haki yako lakini kwa binadamu kamili angehoji je, kwanini aliyeninasibu kuwa msafi mithili ya sufi apende kufanya mambo gizani kiasi kile?

Kweli mtu msafi ajiondoe kwenye mikataba ya uwazi?

Kwanini mtu msafi hakuitaji transparency ili umma umsaidie kuwa msafi?

Mnachofanya sasa ni nafsi zinawasuta, mmeachwa kwenye tope msijue nani atawachomoa, mli compromise nafsi zenu kwa vitu vya kipuuzi na kishenzi.

Kinachowauma zaidi mlizoea kuuza maneno sasa hakuna atakaewaamini tena.

Kwa tuliomfahamu Magufuli tangu enzi hatukua tayari kuuza nafsi zetu kwa sifa za kipuuzi na kijumla jumla namna ile.
Pole sana mtafute kazi ya kufanya sasa.
Subiri kidogo, miradi yote tunayoiona itasimama, ndipo utajua tofauti kati ukweli na uongo. Kati ya Rais na mwimba taarabu.

Awamu zote za marais waislam nchi hii huyumba sana. Subiri tu ujionee.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Naona sasa wawekezaji wawe wanakuja na watu wao, hata chuo kikuu naona kiwekwe chini ya uangaliza wa vyuo vya nje
 
Anachojaribu kusema ni hiki

Kama Magufuli alikuwa nduli,fashisti na fisadi basi alikuwa mzuri .Mtu anakwapua pesa halafu anapekeka umeme kila kijiji na Elimu bure nchi nzima na zahanati nchi nzima na miradi ya barabarank hadi vichochoroni .mistendi kibao hadi mingine inaitwa stendi ya Ndugai hilo fisadi na fashisti na nduli wananchi tunalikubali sababu lilikuwa linakwapua na kuwapelekea wanyonge miradi kibao

Lingebaki liendelee kufisadi na kupelekea wanyonge

Haya tunasubiri msio nduli na mafashisti na msio mafisadi tuone kama spidi ya maendeleo kwa wanyonge ya hilo nduli,fashisti na fisadi tuone kama spidi hiyo mtaiweza.Tuone nani zaidi kati ya nduli fashisti na Fisadi na ambao sio nani zaidi .Wanyonge ndio watakuwa mahakimu kwa hili
Wasichokijua ni serikali ina wenyewe, hawajiulizi kwanini Magu aliwataadharisha wafanyabiashara kuhusu yeye kuchangiwa fedha za uchaguzi.... Nahisi wanyonge Tumepigwa, ndio maana mama kapunguza ulinzi, ngumu kudhurika na wanyonge, waKubwa ndio hatari.
 
Back
Top Bottom