Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Fly over kuanzia tofali la kwanza mpaka gari zinapita ni kazi ya JPM usiwe maamuma. JPM ana rekodi ya kipekee Africa ndio maana Facebook na Instagram wanamlilia mnavyomwandama.
Wengine wanasema ile ya Kijazi ni msaada wa watu wa Japani. Eti Kikwete ndie alitafuta huo msaada.
 
Msiwagawe watanzania kwa sera zenu za ukabila.

Mimi niko kanda ya ziwa,mbona sijasikia hayo unayojaribu kudanganya mchana kweupe.
ni kweli chadema wamekuwa wanawasema vibaya wasukuma kwani uongo si tunawona umu na mtaani
 
Mbaya zaidi huyu CAG mwenye sura mbaya alibebwa sana na Magu
We chawa acha ushamba.

Kichele amekuwa CAG kwa sifa zake. Kwa elimu yake siyo kwa kubebwa na Magufuli.

Kichele amewahi kuwa kamishina wa TRA halafu useme kupewa uCAG kabebwa.

Tatizo ni CAG au ni Magufuli?
Mbona hata Prof Assad alitoa taarifa ya hivi hivi? Mambo aliyofanyiwa unayajua!
 
Hakika mimi kwa muda wa siku tatu baada ya mama Samaia kuapishwa tayari nimenenepa kwa kilo 4
Niseme ukweli tu, hata huku mtaani watu bado hawajaanza kupata hela lakin nyuso zao zina nawiri. Kila mtu ana matumaini ya kupata pesa..hata kama ni baada ya mwaka mmoja. Lakin angalau haoni giza kama kipindi cha Jiwe. Asante Mungu yule jamaa amedead
 
Baada ya miaka 5
sio kweli ni vita vya kumpakaza matope haiwezekani yote aliyoyafanya makufuli ni hasara.(AKILI ZA KUAMBIWA ONGEZA NA ZA KWAKO)
Magufuli atakuwa amesahaulika kama alivyosahaulika nyerere baada ya miaka 5 tu
 
Super super super insight.

Thanks man
 
Ni ajabu kweli kweli. JPM ni mmoja na ameondoka yeye kama yeye. Inashangaza kuona JPM anabambikiziwa mambo mengi ya ovyo na waliokuwa wakicheka naye, waliokuwa wakisafiri naye, waliokuwa Mawaziri wake, waliokuwa marafiki zake, waliokuwa watu wake wa karibu na hata aliowaamini wakasimamia miradi mbalimbali, leo Woote wamemgeuka JPM.
Hapatikani hata mmoja wa kumtetea.
Mungu atatenda miujiza yake.
 
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad; alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
Kwa kweli ntaipitia taratibu hii ripoti...nione inasema hasa..maana ukisoma tu vichwa vya magazeti unaweza kukimbia nchi...
 
Kwa haya anayofanya Rais Samia, mimi namuunga mkono bila kupepesa macho. Kwa nini? Anachofanya ni kizuri kwa taifa. Unasema wapinzani wamejiingiza kusifia haraka haraka bila kujua wanaandaliwa nini. Fine. Kama kipo kinachoandaliwa si kitaonekana tu? Hapo tutaweka msimamo, kwamba hapa sawa, pale hspana. Ni hivyo tu. Hatuna haja ya kupiga ramli. Shida ipo kwako wewe Mwanakijiji uliyejitumbukiza mzimamzima kwa JPM.

Sisi tunampa bigup mama Samia, sio kama ulivyompamba JPM, kwa kusifu na mapambio. Uliyofanya wewe sisi unatukataza sio? Umeliwa
 
Ni kama kuna juhudi za makusudi za kumchafulia jina ilhali mwenyewe hayupo kujitetea!
 
Kweli mtu msafi ajiondoe kwenye mikataba ya uwazi?

Kwanini mtu msafi hakuitaji transparency ili umma umsaidie kuwa msafi?[emoji1752][emoji1752][emoji1752]
Ni mchafu tu ndiye mwenye tabia ya kujificha ficha.
Tumenyamazishwa kibabe, tena kinyume cha sheria kukosoa utendaji wa serikali yetu, kisha uje usema tulikuwa na kiongozi mzuri!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…