Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Mnaota au mnajitoa ufahamu? Kama huyo JPM is there to stay, tusemeje kuhusu Nyerere?
 
Hivi alipodai nchi imepinda hivyo ni lazima aionyoshe, je yeye hakuwa moja katika walioipindisha? Mkapa hakuwa na mawaziri, yeye jiwe akiwa moja wao? Kikwete hakuwa na mawaziri, yeye jiwe akiwa moja wao?

Kwa nini ilipofika tuhuma za ufisadi katika uuzwaji wa nyumba za serikali uliosimamiwa na Waziri wa Mkapa, mwendazake John Pombe Magufuli, mlimtetea jiwe mkidai kwamba alikuwa ni mtekelezaji tu?

Kwa miaka zaidi ya ishirini, jiwe alikuwa waziri katika awamu zote mbili, na hata mara moja hakufikiria kujiuzulu kwa kutokubaliana na bosi wake. Lakini leo lawama zote mnataka watupiwe wasaidizi wake, kweli?
Hapatikani hata mmoja wa kumtetea.
Kumbuka hakutaka ushauri wowote kutoka kwa yeyote, sasa atetewe kwa lipi?
Mungu atatenda miujiza yake.
Mbona mwepesi kusahau, Mungu keshatenda miujiza yake!
 

Kutetea uovu kazi kweli kweli.
 
Una uhakika hayo Mashirika uliyotaja hapo yamepata hasara!?
 
Kwa hiyo cag muongo?
 
Mkuu umemalza, huyu mzee anatapatapa tu.
 

Kaka huijui vizuri system ilivyokaa, na inaonekana ni aidha haujamwelewa CAG au akili yako ndogo kuchanganua mambo. Tafuta mtu mwenye uelewa mzuri akuelekeze hali halisi ilivyo
 
Kaka huijui vizuri system ilivyokaa, na inaonekana ni aidha haujamwelewa CAG au akili yako ndogo kuchanganua mambo. Tafuta mtu mwenye uelewa mzuri akuelekeze hali halisi ilivyo

Dah eti akili ya Mzee Mwanakijiji ni ndogo kuchanganua mambo? Imebidi nicheke tu,unamjua vizuri mtoa Mada wewe,uliza basi waliokuwepo tangu enzi za Jambo Forum mpaka kuwa Jamii Forum back then 2006! Comment nyingine unasoma unalazimika kutazama hadi profile ya mtoa comment,uliza Pro CHADEMA humu tena wale Wakongwe siyo hawa vodafasta wakueleze who is Mwanakijiji [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa kweli ntaipitia taratibu hii ripoti...nione inasema hasa..maana ukisoma tu vichwa vya magazeti unaweza kukimbia nchi...

Nimebahatika kusoma Summary ya hiyo report,hata ukisoma report yenyewe bado utaona ulichokiandika hapa kinabaki kuwa na Mashiko. Nimebaki najiuliza hii report was meant kureport Hasara kwa namna yoyote ile,mtu anakagua mradi wa Stand ya Mabasi Mbezi anakosa “hasara” ya kupiga pesa, anakuja na “hasara” ya Foleni. Realy,kwamba ile foleni Ubungo haikuwa na hasara ila hii ya Mbezi ndiyo hasara.
 
Wewe mzee usituletee yale mambo ya kusema wote wajiuzulu kama mlivyomfanya mzee Lowasa.

Tukienda kwenye uchaguzi unadhani ni nani yuko tayari sasa hivi kama sio kuiweka nchi rehani tu?

Mama yetu Samia anaonesha ni mtu mwenye uwezo,uthubutu,na nia ya thabiti ya kuirudisha nchi yetu katika ustawi wa kweli.
 
Ameshaenda JPM harudi tena!tuangalie yaliopo,waliopo na yale yajayo kwa manufaa ya taifa letu!
 
Mzee Mwanakijiji is COMPROMISED and no longer TRUSTWORTHY!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…