Kama kilichoripotiwa na CAG ni Kweli, basi Magufuli alikuwa sahihi mara 3...

Inasemekana Mama eti alifanya several attempts za kutaka kuresign..ilaa eti alizuiwaa... 'inasemekana'.
Upuuzi mtupu kuamini hivyo. She was sleeping with the devil full stop.
Huyu Mama ni Vulture, alikuwa very Patient, kapata kaanza mipasho.

Tungekuwa na bunge ingebidi ipigwe kura ya "No confedence" kwa rais na waziri mkuu, uchaguzi ufanyike upya.
Kama alishuhudia yote haya, na anayajua, nani anakuwa na imani naye?
 
Hivi unapotosha kwa makusudi report ya CAG au hujasoma. Hakuna sehemu kasema hiyo miradi haipo, isipokuwa kaonyesha mapungufu yaliyo katika hiyo miradi na mara zote report za CAG zinakuwaga hivyo. Sijui kwanini awamu ya JPM report za CAG zimekuwa kuwa nongwa.
Kwani kipindi kile cha kikwete na ufisadi uliokuwa ukifanyika miradi haikuwepo? Ni kupitia miradi ndipo upigaji hufanyika.
Hakuna sehemu kasema hakuna stendi ya Magufuli, isipokuwa kasema pale ilipo itasababisha foleni. Hakuna sehemu kasema hakuna mradi wa SGR, isipokuwa kasema kuna wafanyakazi wasiyo na vibari.
Punguzeni mahaba na upotoshaji. JK na upigaji wote uliokuwepo ndiye alianzisha mradi wa kupeleka umeme vijijini, Magufuli kaendeleza alipoishia. Kikwete na upigaji uliokuwepo ndiye kaunganisha barabara mikoa yote isipokuwa mikoa miwili, akaanzisha shule za kata.
Report ya CAG mara zote uwa inapitia miradi iliyopo kuangalia kama ina tija au kama kuna upigaji.

Huyu mzee msukuma kapagawa baada ya kuona Marehemu ambaye alimuona ni Mungu kwanza amekufa, pili report ya CAG imebainisha alikuwa ni fisadi aliyekubuhu.
 
Mwanakijiji, husoma sana michango yako na huwa sichangii kwa kuwa nilikuweka kundi la wachangiaji wa kusomwa tuu na sio kubadilishana muono au mawazo.

Kwa muda mrefu nilifanya hivyo, kumbe nilikosea sana, pole na unisamehe kwa hilo, kumbe unauwezo wa kuona mbali sana.

Kwa muono wangu mimi, nimejifunza mambo mengi mapya kipindi cha Magufuli. Nilikereka sana mwanzo kwa kuwa nilliishi kwenye mfumo mpya ambao sikuuzoea na kiuendeshaji maisha.

Nilicho kiona na ambacho nina hakika ni kuwa uzalendo wa Mwendazake utachukua muda mrefu kutokea au kupata Rais mwingine wa namna yake kwenye mema na mabaya..

Viongozi wengi tumeshindwa kubadiika kipindi cha Magufuli, tunarudi kule kule kwenye biashara za upigaji haraka haraka sana.

Nchii hii kama hauja itembea huwezi kujuwa Magufuli amefanya nini? Ila uizunguuke ndio utafahamu nchi yetu kuna mabadiliko gani na kuyauona.

Chakula kipo cha kutosha na kwa bei nzuri nchi nzima. Watoto wanaenda shule nchi nzima, na kuna kupanga maisha kwa kila jamii na família nyingi leo.

Pesa imekuwa ngumu lakini inathamani, na mfumuko wa bei haubadiliki badiliki. Vigoma vya kurudi tuliko toka vinapigwa kila kona lakini najuwa ni wachache ambao watafaidika na mabadiliko ya kurudi kwenye enzi kikwete. Na huenda humu JF kukawa na kelele nyingi mno baadae, na kwenye mitandao mingine na wananchi nchi nzima.
Elimu bure ni sera ya zamani sana ,tangu uchaguzi wa mwaka 2000 ,wapinzani walishalisema hili. Hii haiwezi kuwa hoja kwa sasa. Tafuteni namna ya kumtetea mtu wenu.
 
Uzalendo umekuwa kichaka cha Wizi! Watu wamevishwa koti la unyonge watu wanapiga pesa tu.
 
Huyu mzee msukuma kapagawa baada ya kuona Marehemu ambaye alimuona ni Mungu kwanza amekufa, pili report ya CAG imebainisha alikuwa ni fisadi aliyekubuhu.
Hawa watu wanapotosha sana. Na sijui kwanini awamu ya JPM report za CAG zilikuwa nongwa lakini ni report hizi hizi ambazo wanazitumia kurefer ufisadi wa kipindi cha kikwete. Hawa watu ni wajinga wa kiwango cha SGR
 
Ukitaka kujua motive zao jaribu kufikiria waliposimamia, mama Samia anatuambia hata madini adimu ambayo mwenda zake aliyaangalia Kwa wivu wa kupindukia tuwaachie waje tu wachimbe, Ndugai anasema Kwa SGR wajichange wabunge walete hayo mabehewa, mchina tunaejua anavyofuonza damu aje tu ajenge Bagamoyo. Hapo mie naamini hawa ni majambazi walio na agenda zao Ila muda utaongea
Isee kilaa mtu amebaki kinywa wazi..

.ndio maana mama alisema asome report ili waanike upumbavu

Eti hamna shule kongwe zilizorekebishwa..ilihali shule zote zimerekebishwa

Jamaa kajenga ukuta wa aina yake mererani...ila tunaambiwa hauna maana

Jamaa kajenga stand. Ila tunaambiwa inaleta foleni Moro

Kwamba usanifu wa Bwawa la Nyerere ni wa zamani

Siasa ni ushetani!..nimeamini usimuamini hata ndugu yako/mzazi.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Yah right. Kwa hiyo huo ufisadi wote ni wa kutunga siyo.

Tukiona Assad akienguliwa kwa akili tu ya kuexpose matumizi mbaya ya pesa za umma.

Kwa jinsi Assad alivyoondoka na haya madudu tuliyoyasikia jana naamini kulikuwa na ufisadi mkubwa tu.
 
Huyu jamaa hata sijui kaandika nini?na ninamashaka jamii forum bado kuna kundi kubwa halijielewi yaani lipolipo tuu...in Bwege's voice.Ripoti imesomwa na CAG ambayo imeelezea yote yalifanyika katika taasisi za umma wakati rais akiwa JPM.

Sasa kwa jinsi ripoti unavyoiona maana yake ni kwamba kipindi cha mwendazake Uhuru uliminywa,na ndiyo maana ukweli hukupatikana na sasa ndipo ule usemi wa mficha maradhi kifo humuumbua.Kipindi cha awamu ya nne uhuru wa kujieleza na vyombo vya habar ulikuwa mkubwa kwa watanzania,na ndipo kashfa nyingi za ubadhilifu zikaibuliwa na bunge kwa sababu lilikuwa na upinzani angalau majadiliano yalikuwa yamoto.

Kiufupi utawala wa jpm unamadudu mengi hayo unayoyasikia ni rasharasha tuu kuna mengi mabaya utayasikia.Mtu mwenyenia njema asingeminya upinzani bungeni,Uhuru wa habari,ukosoaji wa raia mmoja moja kumbuka hizi ni dalili za kujilinda kwa mwendazake na serikali yake ili waweze kuvuna mabilioni ya watanzania (wanyonge) kama walivyotupachika hilo jina.
 
utawala wa walio wengi maana yake kama wengi ni wajinga unatakiwa uangalie matakwa ya hao wajinga walio wengi
Hebu nieleze kitu gani cha maana alichowafanyia hao wajinga?

Sana sana alifanikiwa kuwadanganya kuwa adui yao ni watu wa middle- class pamoja na wazungu. Kwa kuwa ni wajinga wakampigia makofi.

Amewaacha katika shimo refu la umaskini, hawana hili wala lile. Wengi wao wanatuomba misaada kila siku. Wakienda hata huko Hospital hawapati dawa.
 
Elimu bure ni sera ya zamani sana ,tangu uchaguzi wa mwaka 2000 ,wapinzani walishalisema hili. Hii haiwezi kuwa hoja kwa sasa. Tafuteni namna ya kumtetea mtu wenu.
Hapa hatetewi mtu, será na utekelezaji ni vitu viwili tofauti, nchi ni ya kwetu sote. Mazuri yake tuna beba na kuendelea nayo na mabaya yake yanatupwa kwenye kaburi lá sahau na anaenda nayo mwenyewe.

Kwa hiyo turudi nyuma kwa ambayo yanaweza kutufaa? Kitabu kipya cha mama Samia pia kutakuwa na mazuri na mabaya yake.

Tutachukua mazuri mabaya tuna mwachia mwenyewe.
 
Upuuzi mtupu kuamini hivyo. She was sleeping with the devil full stop.
Huyu Mama ni Vulture, alikuwa very Patient, kapata kaanza mipasho.

Tungekuwa na bunge ingebidi ipigwe kura ya "No confedence" kwa rais na waziri mkuu, uchaguzi ufanyike upya.
Kama alishuhudia yote haya, na anayajua, nani anakuwa na imani naye?
Noted
 
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
mwendazake akaona ni threat akamweka pembeni
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Ajenda ya Magufuli ambayo haitakufa ni ipi?

Amandla...
 
Hivi unapotosha kwa makusudi report ya CAG au hujasoma. Hakuna sehemu kasema hiyo miradi haipo, isipokuwa kaonyesha mapungufu yaliyo katika hiyo miradi na mara zote report za CAG zinakuwaga hivyo. Sijui kwanini awamu ya JPM report za CAG zimekuwa kuwa nongwa.
Kwani kipindi kile cha kikwete na ufisadi uliokuwa ukifanyika miradi haikuwepo? Ni kupitia miradi ndipo upigaji hufanyika.
Hakuna sehemu kasema hakuna stendi ya Magufuli, isipokuwa kasema pale ilipo itasababisha foleni. Hakuna sehemu kasema hakuna mradi wa SGR, isipokuwa kasema kuna wafanyakazi wasiyo na vibari.
Punguzeni mahaba na upotoshaji. JK na upigaji wote uliokuwepo ndiye alianzisha mradi wa kupeleka umeme vijijini, Magufuli kaendeleza alipoishia. Kikwete na upigaji uliokuwepo ndiye kaunganisha barabara mikoa yote isipokuwa mikoa miwili, akaanzisha shule za kata.
Report ya CAG mara zote uwa inapitia miradi iliyopo kuangalia kama ina tija au kama kuna upigaji.
wazee wa ku twist maneno washajiwekea mawazo yao kichwani kua kwa hoja walizonazo ni ngumu kumshawishi mtu kua jpm alikua fair na ndio maana watetezi wake wanapindisha maneno
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Ufisadi uliofanyika wakati wa miaka mitano ya Rais Magufuli tunaambiwa ni mkubwa sana. Kwamba, mabilioni ya fedha yameliwa na wajanja na kuwa fedha hizi zimeliwa na watu walioteuliwa na kusimamiwa na Rais Magufuli. Kwa haraka haraka - kama kawaida naona siku hizi - wakosoaji wa Rais Magufuli (na hapa nawazungumzia wale wa kisiasa) wameruka ruka kwa shangwe wakisema "si tuliwaambia!". Na kinachosikitisha kidogo ni kuwa hata baadhi ya watu ambao wamejitambulisha kuwa ni wapinzani nao wamerukia kwa furaha tu na hata hawajui ni kitu gani wanaandaliwa. Sijui ni nani anayewalengesha hawa lakini kilichofanyika na kinachoandaliwa labda ni cha kutisha zaidi kuliko kilichotokea. Kuna mtu aliuliza (jamaa yangu Philemon Michael) wakati msiba ulipotangazwa maswali ambayo sidhani kama kuna mtu atakuja kuyauliza hadharani au kutaka kuyajibu yaeleweke. Na kuna mtu aliuliza tena wakati CAG amewasilisha Bungeni ripoti yake kwamba je hii ndio ile ile ripoti ambayo kama JPM angekuwa hai angekabidhiwa? Sijui jibu lake... Kama ni ile ile inawezekana hakukuwa na jinsi ripoti hii ingekutana na JPM meza moja... Kama ni nyingine... Magufuli alikuwa sahihi mara ya 1.

Hii miaka mitano tumeshuhudia miradi mikubwa ya kila namna na hata tukajisikia kuwa kuna kifu kinafanyika... lakini leo tunaambiwa lote ni changa la macho. Hizo hospitali hakuna zilizojengwa, hakuna masoko, hakuna vituo vya mabasi, hakuna shule zilizofanyiwa matengenezo makubwa, hakuna hiki wala kile na hata ndege tulizoambiwa zilinunuliwa kwa fedha taslimu kumbe hazikununuliwa... yaani, hata hii SGR na Bwawa la Umeme la Nyerere yote ni geresha tu! Kwamba kote huku watu walikuwa wanakula tu na tunachokiona hakipo na kama hili ni kweli basi Magufuli alikuwa sahihi mara 2.

Lakini kingine ni kuwa baadhi ya watu ambao waliteuliwa na Magufuli, walifanya naye kazi, na waliimba "maendeleo" "maendeleo" na hata kusifia kuwa tumeachiwa "urithi" kumbe si kweli; tumeachiwa madeni na ufisadi. Na kwa vile hakuna anayejitokeza kuwa na ujasiri wa kutetea walichokifanya kwa sababu kuna mtu anaitwa "Mwendazake" ameende na utetezi wake kumbe watu wamelia bure. Leo wengine (kina Ndugai) wanageuka wazi wazi; kumbe walikuwa wanaunga mkono uongo; walikuwa wanashangilia ulaghai, na walikuwa wanaficha ufidadi.. hapa watanyoshewa kidole wote kuanzia aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri wote (na wengi wamerudi au kuhamishwa) na kwa kweli inawezekana wabunge wote walioweza kuingia wakisimama nyuma ya Magufuli. Kama hili ni kweli kwamba ufisadi umetokea wakati watu wale wale ambao leo wanatufunulia ufisadi huo walikuwepo basi Magufuli alikuwa sahihi mara ya 3.

Swali kubwa ni usahihi gani ambao ninauzungumzia? Mwenye kusoma na aelewe. Kama kinachodaiwa na kushangiliwa leo ni kweli basi nchi haina kitu kingine cha kufanya bali kurudi kwenye uchaguzi mkuu mapema zaidi (labda Oktoba mwaka huu) kusafisha uchafu huu; ili wananchi wasisubiri kupigwa tena miaka mitano ijayo... Kama kina Majaliwa na wenzake wote hawakubaliani na assessment hii ya kuwa wamekuwa ni serikali ya kifisadi basi Waziri Mkuu aongoze kujiuzulu mara moja ili kumpa Rais nafasi kweli ya kuunda serikali anayoitaka ambamo ndani yake asirudi HATA MMOJA ALIYEKUWA NDANI YA SERIKALI YA MAGUFULI. Ndio maana ya KUWAJIBIKA KWA PAMOJA.

Wakitaka kuendelea bila kuwajibika ni lazima kuna kitu kingine kinaandaliwa. Ajenda ya Magufuli haijafa, haitakufa na kwa hakina haitoachwa ife. Maana, kama ufisadi huu umefanyika kwa kiasi hiki basi inawezekana Magufuli alikuwa ni genius aliyepindukia. Yaani, kama ufisadi kama huu ungefanyika wakati wa Mkapa au JK hii nchi ingekuwa mbali sana!
Wizi mtupu alifanya na wapambe wake
 
Wapigaji wamerudi kwa kasi ili mambo yao yaende kazi ni moja kuua legacy yote ya mwendazake alafu waanze kupiga kama ilivyoada
Acha UONGO wewe, inawezekana wewe ni mmoja wa wanufaika wa JIWE.

JAMAA NILIKUWA SIMKUBALI HATA KIDOGO, WANANCHI WANA HALI NGUMU HUKU WATEULE WAKE WAKILA BATA.
 
Back
Top Bottom