Kama kitu kinachekesha kwa nini mnatanguliza kichwa cha habari "Utacheka"

Kama kitu kinachekesha kwa nini mnatanguliza kichwa cha habari "Utacheka"

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kiukweli Tanzania sijui tunaelekea wapi hakuna cha wasanii wala habari kule youtube. Yaani hawa wasanii wanaojiita wachekeshaji aka comedy wa Tanznaia.

Unafungua YouTube ukiona tu page zao basi neno linatangulizwa "utacheka" sasa ucheke wakati sijaona kinacho chekesha.

Msanii anaanza kucheka mwenyewe mpaka kunamalizika halafu hakuna la maana. Nyie wasanii kama mnakosa kazi kuna kulima.

Mtu anaongea sauti hata hazieleweki basi ziwe na ustadi na mavionjo mengi ya muziki utadhani vikatuni vya Tom na Jerry.

Kama hamuwezi kuchekesha au mnachokionesha kwenye habari zenu msilazimishe neno "utacheka"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom