Kama "Kono la Nyani" karuhusu goli kila mechi aliyocheza na vitimu vya ovyo kule Misri, itakuwaje akikutana na moto wa petroli?

Majok majok

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
783
Reaction score
2,057
Najiuliza tu unacheza na vitimu vya madaraja ya chini uko ulikoenda na vinafanikiwa kupata magoli No clean sheet dhidi ya vitimu dhaifu vipi ukikutana na prince dube? Vipi ukikutana na jean othos baleke?

Vipi ukikutana na Aziz ki? Vipi ukikutana na Pacome mwana wa zouzou? Vipi mwamba wa Lusaka atakuacha salama?

Hii ni hatari atuwatishi lakini sio afya kwa mpira wa miguu Tanzania, ukuta wa mabua unaenda kudhalilika Tena, habari za derby ainaga mwenyewe azina nafasi kwa sasa mpira ni sayansi na sio mazoea!
 
Pre season, sio ligi ni mda wa kuangalia wachezaji, kocha awezekupanga kikosi kwa ajili ya mashindano yajayo.
 
Kwa hyo no clean sheets ndo kufungwa?
Mbona hamjui Mpira nyie utopolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…