Kama kufa ni kwa milele sasa suala la siku ya mwisho na ufufuo linatoka wapi?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Kama mada inavyojieleza,

Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.

Lakini maandiko hayo hayo yanasema kuna ufufuo siku ya mwisho ambayo itakua na hukumu kutokana na matendo yako.

Parapanda Italia kwenda kumlaki bwana Yesu mawingu, inasemekana wakati parapanda itakapolia itawakuta watu wengine hai kwa maana hawatakua wamekufa na wale waliokufa watafufuliwa.

Je hapa hatuoni kama haki itakua haijatendeka? Kwa maana haiwezekani watu waliokufa miaka milioni 5 iliyopita wafufuliwe na watu waliokufa siku 2 kabla ya parapanda ya ufufuo? Je kuhusu wale ambao parapanda itawakuta bado hai si ndo watakua wamependelewa zaidi?

Ninavyojua neno milele ni kipindi ambacho hakina mwisho kwa maana ukifa ndo unapotea kabisa miaka trilioni kwa trilioni ijayo, sasa hili suala la kufufuliwa linatoka wapi?

Wale wajuvi wa Theolojia naomba mnipe elimu.
 
hicho kitabu kinachokuambia hayo sio kitalatifu.
Kitabu kitakatifu kinatambua KIFO CHA MPITO (temporal Death) na UFUFUO wa wafu waovu na wasafi.
Wasafi kupata Thawabu Yao yaani Uzima wa milele.
Waovu pamoja na mkuu wao Kuangamizwa Milele (Eternal death).
 
Na uelewe kuwa kila nafsi itaonja mauti....hakuna atakayekutwa yu hai...unaonja mauti then unapewa hukumu yako
 
Yajayo yanafurahisha...!!
Hahaaa kuna jamaa anakuambia tutajua kama kuna kufufuliwa tutajua hukohuko...
 
Kama mada inavyojieleza,

Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.

Lakini maandiko hayo hayo yanasema kuna ufufuo siku ya mwisho ambayo itakua na hukumu kutokana na matendo yako.

Parapanda Italia kwenda kumlaki bwana Yesu mawingu, inasemekana wakati parapanda itakapolia itawakuta watu wengine hai kwa maana hawatakua wamekufa na wale waliokufa watafufuliwa.

Je hapa hatuoni kama haki itakua haijatendeka? Kwa maana haiwezekani watu waliokufa miaka milioni 5 iliyopita wafufuliwe na watu waliokufa siku 2 kabla ya parapanda ya ufufuo? Je kuhusu wale ambao parapanda itawakuta bado hai si ndo watakua wamependelewa zaidi?

Ninavyojua neno milele ni kipindi ambacho hakina mwisho kwa maana ukifa ndo unapotea kabisa miaka trilioni kwa trilioni ijayo, sasa hili suala la kufufuliwa linatoka wapi?

Wale wajuvi wa Theolojia naomba mnipe elimu.

From which angle is your argument? wewe ni mpagani? mkristo? mwislamu au mbishi tu na mjuaji? ukinijibu nitaweza kukusaidia!
 
Muislam but nipo nipo tu nna miaka sijui mlango wa msikiti
 
Ingependeza sana kama ungemtangulia huyo Mungu ambae atafufua wafu.
Kwa kuwa umekuwa sasa na umepata uelewa "Ebu umba mtu wako tofauti na hawa wanaonekana"
IMANI YAKO ITAKUPONYA.
 
Kama mada inavyojieleza,

Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.

Lakini maandiko hayo hayo yanasema kuna ufufuo siku ya mwisho ambayo itakua na hukumu kutokana na matendo yako.

Parapanda Italia kwenda kumlaki bwana Yesu mawingu, inasemekana wakati parapanda itakapolia itawakuta watu wengine hai kwa maana hawatakua wamekufa na wale waliokufa watafufuliwa.

Je hapa hatuoni kama haki itakua haijatendeka? Kwa maana haiwezekani watu waliokufa miaka milioni 5 iliyopita wafufuliwe na watu waliokufa siku 2 kabla ya parapanda ya ufufuo? Je kuhusu wale ambao parapanda itawakuta bado hai si ndo watakua wamependelewa zaidi?

Ninavyojua neno milele ni kipindi ambacho hakina mwisho kwa maana ukifa ndo unapotea kabisa miaka trilioni kwa trilioni ijayo, sasa hili suala la kufufuliwa linatoka wapi?

Wale wajuvi wa Theolojia naomba mnipe elimu.
Siku hiyo binadam ataona Maisha aloishi duniani Na kaburini Ni kama ndoto ya usiku mmoja..hikma za mwenyezimungu zipo hapo.
Kifo sio pumziko la milele...inategemea kifo chako kinakupeleka wapi motoni au peponi.. Qur'an
 
Kama mada inavyojieleza,

Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.

Lakini maandiko hayo hayo yanasema kuna ufufuo siku ya mwisho ambayo itakua na hukumu kutokana na matendo yako.

Parapanda Italia kwenda kumlaki bwana Yesu mawingu, inasemekana wakati parapanda itakapolia itawakuta watu wengine hai kwa maana hawatakua wamekufa na wale waliokufa watafufuliwa.

Je hapa hatuoni kama haki itakua haijatendeka? Kwa maana haiwezekani watu waliokufa miaka milioni 5 iliyopita wafufuliwe na watu waliokufa siku 2 kabla ya parapanda ya ufufuo? Je kuhusu wale ambao parapanda itawakuta bado hai si ndo watakua wamependelewa zaidi?

Ninavyojua neno milele ni kipindi ambacho hakina mwisho kwa maana ukifa ndo unapotea kabisa miaka trilioni kwa trilioni ijayo, sasa hili suala la kufufuliwa linatoka wapi?

Wale wajuvi wa Theolojia naomba mnipe elimu.
Hapo hapo wanadai kila nafsi itaonja mauti.. vipi ambao parapanda itawakuta wakiwa hai hayo mauti watayaonja wapi? Je nao watarudi katika udongo/mavumbini?
 
Wewe kua na imani bata ukimchunguza sana utomlaa nenda kanisani katubu kwa baba paroko
 
Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.
Usiandike tu vitu kama mtoto wa darasa la tatu, hebu tuwekee hapa reference utuoneshe ni wapi imeandikwa kuwa kifo ni pumziko la milele. Mimi natumia Biblia, hivyo naomba uniwekee hapa mistari ya kwenye Biblia inayobeba hiyo hoja yako.
 
hicho kitabu kinachokuambia hayo sio kitalatifu.
Kitabu kitakatifu kinatambua KIFO CHA MPITO (temporal Death) na UFUFUO wa wafu waovu na wasafi.
Wasafi kupata Thawabu Yao yaani Uzima wa milele.
Waovu pamoja na mkuu wao Kuangamizwa Milele (Eternal death).
Hicho kitakakatifu kinachotambua kifo cha mpito ni kipi!!? Tusaidie.
 
Kama mada inavyojieleza,

Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.

Lakini maandiko hayo hayo yanasema kuna ufufuo siku ya mwisho ambayo itakua na hukumu kutokana na matendo yako.

Parapanda Italia kwenda kumlaki bwana Yesu mawingu, inasemekana wakati parapanda itakapolia itawakuta watu wengine hai kwa maana hawatakua wamekufa na wale waliokufa watafufuliwa.

Je hapa hatuoni kama haki itakua haijatendeka? Kwa maana haiwezekani watu waliokufa miaka milioni 5 iliyopita wafufuliwe na watu waliokufa siku 2 kabla ya parapanda ya ufufuo? Je kuhusu wale ambao parapanda itawakuta bado hai si ndo watakua wamependelewa zaidi?

Ninavyojua neno milele ni kipindi ambacho hakina mwisho kwa maana ukifa ndo unapotea kabisa miaka trilioni kwa trilioni ijayo, sasa hili suala la kufufuliwa linatoka wapi?

Wale wajuvi wa Theolojia naomba mnipe elimu.
Unaambiwa kila nafsi itaonja umauti
 
Back
Top Bottom