Hebu angalia jinsi juzi juzi tu Brazili walivyomtungua Portugal 6-2 ...
Mimi haikuniuma sana kwasababu statistics zinaonyesha tatizo lilipo, tulikuwa sawa karibu kila kitu (ki takwimu) tofauti ipo kwenye number of saves. Brazil wanasaves 6 sisi 0. Hapo utaona tatizo letu ni golikipa tu.