Kama kufungwa 5-1 na Brazili inauma sana basi usitazame hii...

Kama kufungwa 5-1 na Brazili inauma sana basi usitazame hii...

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Posts
4,473
Reaction score
4,252
Hebu angalia jinsi juzi juzi tu Brazili walivyomtungua Portugal 6-2 ...

Last edited by a moderator:
Hebu angalia jinsi juzi juzi tu Brazili walivyomtungua Portugal 6-2 ...

Kufungwa ni kufungwa tu hata kama Brazil wameifunga Tanzania Goli moja ni sawa sawa tu kufungwa ni sawa sawa na kufa tu utasema Mtu huyu Kafa Kiume au Kafa Mtu huyu kike?Kufa ni kufa hata kama Umekufa Kiume na yule kafa Kike yote ni Sawasawa kifo ni kifo tu na kufungwa ni kufungwa kwa Ufupi sisi WaTanzania Mpira wetu ni Kichwa cha Mwendawazimu Hatujuwi Mpira ,wanatufunga hata jirani zetu WaMalawi? mimi hapo ninachoka akili yangu Hata hao Wanyasa Wanatufunga jamani? ama kweli MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO.
 
Last edited by a moderator:
Mimi haikuniuma sana kwasababu statistics zinaonyesha tatizo lilipo, tulikuwa sawa karibu kila kitu (ki takwimu) tofauti ipo kwenye number of saves. Brazil wanasaves 6 sisi 0. Hapo utaona tatizo letu ni golikipa tu.
 
Kweli umesema...
 
Hii hapa nyingine jana

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom