Kama kula kwako ni kwa shida, nakushauri usioe

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto?

Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulizonazo, na uhakikishe uhakika wa kupata chakula kila siku upo, ndipo uoe.

Kuoa sio fasheni​
 
Kama wewe mwenyewe umeshindwa kujisimamia, utawezaje kumsimamia mke pamoja na watoto?

Narudia tena kukushauri, usioe kama kula yako ni ya shida; tatua kwanza changamoto ulionazo, na uhakikishe uhakika wa kupata chakula kila siku upo, ndipo uoe.

Kuoa sio fasheni​

Kataa ndoa..

Usioe….
 
Nakazia
Ndugu Zangu Oeni Elimu Ni Bure
Ila Kama Ninyi Ndugu Zangu Wa Pwani Mnategemea Mnazi Mmoja
Ndiyo Mfikirie Kupanga Uzazi Saa Nyingine Hata Uzazi Utagoma

Lakini Kama Unakula Unashiba Zaeni, Hata China Na India Zimeendelea Kwa Idadi Ya Watu Kuwa Wengi!
By Jiwe
 
Ujumbe mzuri
 
Napinga hoja yako kwa hoja hii:

Hata kama maisha yako yataendelea kuwa magumu (mlo mmoja kwa siku) kijana unapaswa kuoa tu maana hata mama (mwanamke) huja na baraka zake.

Bora hata age zetu, kuna dingi angu mkubwa anasema alioa akiwa hana hata jozi moja ya viatu, alikuwa na kitanda cha miti na mkeka. Hakuwa na mbuzi wala ng'ombe wala kuku mmoja.

Kuna nduguze watano (baba wakubwa wengine) ambao walikuwa waoga wa kuoa wakakimbilia Kitwe (Zambia) kwenye machimbo ya shaba, wengine watatu walivofika Zambia wakaona hapatoshi.
Wakakimbilia"Kujhoni"(Johannesburg) kwenye migodi ya huko, hao ndo walipotea mazima.Hii ilikuwa ni miaka early 1950's.
Hawa wawili wa Kitwe mmoja alifia huko machimboni mwenzie akarudi akiwa mzee hana hata mke wala mtoto wa kumsaidia.

Kuogopa kuoa kisa kukosa mlo ni uoga wa maisha.
 
Wakakimbilia"Kujhoni"(Johannesburg) kwenye migodi ya huko, hao ndo walipotea mazima.Hii ilikuwa ni miaka early 1950.
Hawa wawili wa Kitwe mmoja alifia huko machimboni mwenzie akarudi akiwa mzee hana hata mke wala mtoto wa kumsaidia.

Kuogopa kuoa kisa kukosa mlo ni uoga wa maisha.
Kama ndo ivyo basi kule ukweni watambue kabisa maana shida za kule utazibeba plus za kwako hapo ndo utakuja kuongea mwenyewe huku unatembea..kuwa makini baraka zipo ila jipange atleast uwe na mwanzo mzuri usipende kuwapa mabint za watu shida mpaka kizazi yaani watoto waishi kwa shida mpaka wakuue washakuwa na mentality za kimaskini.....better kujiandaa ukiwa full financially stable maana mambo yakiend U-turn angalau una matumaini sehemu fulani .

Narudi baraka zipo ila usizae kiumbe hauna uwakika wa kukilisha mwenywe mlo mmoja unakusumbua
 
Binadamu hanaga kujiandaa kikamilifu.

Huwezi kujitosheleza kila kitu ndo uoe, we angalia pale unapoweza, amua

Hakuna binadamu ambaye amewahi kutimiza mipango yake yote.

Pia kumbuka, kadiri muda unavosonga, mwili, akili na nguvu hupungua utendaji kazi wake, Ukioa una 45 years si sawa na aliyeaoa na 25 years

Chaguo ni lako. Kila mtu afanye anachoona sahihi mradi asivunje sheria.
 
Sawa mkuu ila miracles don't work such a way kwamba we mwenyewe kule kwa shida inategemea mtoto wa watu umuoe utegemee kwamba atakuja na baraka hii utakuja kuteseka mpaka kufa ....unavyoona vitu kibao katika dunia havina ulazima hii kutokana na division ya vipato na vipawa alivyotoa mungu ...fikiria hii kitu kumlea mtoto katika mazingira ya shida mpaka afike miaka labda 15 ni parefu mno sio kitoto na bado Kuna Wana mpaka 20 wako kwao bado ni chenga,kuwa na limit katika vitu viko nje ya uwezo wako sio tatizo unaweza kuoa mke nae akaingia kusiaidia familia mkijiona mambo bado tafuteni watoto wachache dunia ni mbaya sana ukienda against na principals zake
 
Mara zote binadamu hutofautiana kifkra.......

Wewe oa ukishajikamilisha hata ukiwa na miaka 60

Kuna mtu anaoa ana godoro na kindoo cha kuogea tu....na zaidi ni kuwa tunatokea background tofauti
 
Napinga hoja yako kwa hoja hii:

Hata kama maisha yako yataendelea kuwa magumu (mlo mmoja kwa siku) kijana unapaswa kuoa tu maana hata mama (mwanamke) huja na baraka zake.

Bora hata age zetu, kuna dingi angu mkubwa anasema alioa akiwa hana hata jozi moja ya viatu, alikuwa na kitanda cha miti na mkeka. Hakuwa na mbuzi wala ng'ombe wala kuku mmoja.

Kuna nduguze watano (baba wakubwa wengine) ambao walikuwa waoga wa kuoa wakakimbilia Kitwe (Zambia) kwenye machimbo ya shaba, wengine watatu walivofika Zambia wakaona hapatoshi.
Wakakimbilia"Kujhoni"(Johannesburg) kwenye migodi ya huko, hao ndo walipotea mazima.Hii ilikuwa ni miaka early 1950's.
Hawa wawili wa Kitwe mmoja alifia huko machimboni mwenzie akarudi akiwa mzee hana hata mke wala mtoto wa kumsaidia.

Kuogopa kuoa kisa kukosa mlo ni uoga wa maisha.
Nakubalina na wew unaweza kufunga ndoa Huku ukiwa huna kitu changamoto iliopo mwanamke gani atakubari kuvumulia njaa zako hasa wanawake wa vizazi vya vyetu Bora ukomae ujipange tu mwenyewe ukiwa sawa kiuchumi oa ayo mambo yakutoka na mwanamke from zero to hero mama zetu tu ndio walikua wanaweza afu tukubaliane Duniani ya Sasa kuoa na kuolewa sio kitu Cha lazima Yani itafika kipind wanawake watakua hawaolewi na hakuna anayeshangaa na itafika kipind wanaume watakua hawafungi ndoa na hakuna anayejari Wala nin tuache kukaza vichwa Dunia inapitia kweny mabadiliko ya vitu vingi sana
 
Version ya wanawake ni ileile japokuwa tuko nyakati tofauti
Sio kwamba hamna wanawake wanaoweza kuvumilia shida la hasha...Ukimpata tu mwanamke anayeweza ku-sail na wewe boat moja maisha yanakuwa poa.

Binafsi yangu sikubaliani na hali ya kuwa na mwanamke katika hali ya umasikini ishu ni aweze kukubaliana na hali yangu, Sio Nipretend kama ninavyo wakati sina baadae nitateseka sana. Na jiulize je kama hali yako ya kiuchumi haikai sawa so ndo hutaoa hadi unakufa ???
 
Nakubalina na wew unaweza kufunga ndoa Huku ukiwa huna kitu changamoto iliopo mwanamke gani atakubari kuvumulia njaa zako hasa wanawake wa vizazi vya vyetu Bora ukomae ujipange tu mwenyewe ukiwa sawa kiuchumi oa ayo mambo yakutoka na mwanamke from zero to hero mama zetu tu ndio walikua wanaweza afu tukubaliane Duniani ya Sasa kuoa na kuolewa sio kitu Cha lazima Yani itafika kipind wanawake watakua hawaolewi na hakuna anayeshangaa na itafika kipind wanaume watakua hawafungi ndoa na hakuna anayejari Wala nin tuache kukaza vichwa Dunia inapitia kweny mabadiliko ya vitu vingi sana
Hayo mabadiliko ya kishetani yanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
 
Kuna teja(ngada boy) aliwahisema mke kama ngada huwezi kukosa pesa hata uwe mzembe kiasi gani. Akajitolea mfano yeye siku matumizi yake ya ngada 20,000 anapata kwa kuchakarika kwake. Sasa kama wewe mume utashindwaje kuchakarika na kumlisha mkeo?
Ngada boy ana point
 
Napinga hoja yako kwa hoja hii:

Hata kama maisha yako yataendelea kuwa magumu (mlo mmoja kwa siku) kijana unapaswa kuoa tu maana hata mama (mwanamke) huja na baraka zake.

Bora hata age zetu, kuna dingi angu mkubwa anasema alioa akiwa hana hata jozi moja ya viatu, alikuwa na kitanda cha miti na mkeka. Hakuwa na mbuzi wala ng'ombe wala kuku mmoja.

Kuna nduguze watano (baba wakubwa wengine) ambao walikuwa waoga wa kuoa wakakimbilia Kitwe (Zambia) kwenye machimbo ya shaba, wengine watatu walivofika Zambia wakaona hapatoshi.
Wakakimbilia"Kujhoni"(Johannesburg) kwenye migodi ya huko, hao ndo walipotea mazima.Hii ilikuwa ni miaka early 1950's.
Hawa wawili wa Kitwe mmoja alifia huko machimboni mwenzie akarudi akiwa mzee hana hata mke wala mtoto wa kumsaidia.

Kuogopa kuoa kisa kukosa mlo ni uoga wa maisha.
Hii mifano ikiendelea kutumika bila busara basi tutaendelea kua kiwanda cha single mothers.kikubwa cha kukumbuka zamani kula na kuishi ilikua sio tabu, unaweza kuta huyo baba yako mdogo kwao kulikua na ardhi ya kulima ya kutosha na alikua na uwezo wa kujenga hata kibanda cha kujikimu.

Dunia ya leo kijana akisema hana kitu hana, yaani unakuta mtu kazaliwa kwenye nyumba ya kupanga, baba hana kitu cha kumrithisha zaidi ya madeni na ndio unamwambia aoe!.

Sikatai katika maisha kuna "outliers" ambao huenda tofauti na nature na kufanikiwa ila asilimia kubwa asili haikosei kaka, leo hii hata mtetea hapandwi tu na jogoo kisa tu ni jogoo anaangalia kama huyo jogoo ana resources za kutunza na kuendeleza familia.

Namaliza kwa kusema hivi vijana tuoe pale tutakapo kua na uwezo wa kuhudumia familia kiakili na kiuchumi.
 
Back
Top Bottom