Kama kuna aliye ripoti chuoni AMUCTA (SAUT TABORA)..

Kwaiyo ndo inakuaje sasa dah vyuo vingine hivi shida tupu." kwaiyo ni kutafuta chumba
 
Hostel zipo kwa wanafunzi wa kike tu.! Wakiume wote kujichanganya mtaani.!
 
Wenzako wameishafanya assignments 3 mpaka sasa wewe bado upo kwenu.
 
tulia ww unafkiri hela zinachimbwa ama nn.. As long as mwisho wa kusajili ni tareh 19 tutaenda tu.!

Unafikiri chuo ni Sekondari. Katafute tuition uwe nao sawa sasa
 
Ukifika usikose kwenda pale chuo cha uhazili kuna warembo balaa, usikose kwenda club rufita,club royal,club101, frankman club,whitesandclub
 
Kwaiyo ndo inakuaje sasa dah vyuo vingine hivi shida tupu." kwaiyo ni kutafuta chumba

Usikate tamaa. Kwanza jiulize, ni Vyuo vya Elimu ya Juu vingapi hapa nchini vinatoa hudumu ya Hosteli kwa 100%? Tabora utafaidi masomo, asali, nsasa, matobolwa, migebuka kutoka Mkoa jirani, n.k. pamoja na totoz za Kinyamwezi ambao wa-Tanga wanaachwa mbali kama PL ya England na PL ya Makawi!
 
kwani ww tatizo lako nini kaka mipango haijakaa poa what should i do.? I hav t wait

Nimekuelewa sasa mwanzoni ulivyomjibu mdau nikajua umeamua kuvuta tu. Ila itabidi ujitahidi kuwahi kwani jamaa watakuacha sana. Nina best zangu pale ukihitaji msaada zaidi nione pm nikuunganishe nao. Pole sana!
 
shukran broo msaada wako nauhitaji sana acha niku pm ila naomba namba zako nikuchek hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…