Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wameishafanya assignments 3 mpaka sasa wewe bado upo kwenu.
tulia ww unafkiri hela zinachimbwa ama nn.. As long as mwisho wa kusajili ni tareh 19 tutaenda tu.!
Unafikiri chuo ni Sekondari. Katafute tuition uwe nao sawa sasa
Kwaiyo ndo inakuaje sasa dah vyuo vingine hivi shida tupu." kwaiyo ni kutafuta chumba
kwani ww tatizo lako nini kaka mipango haijakaa poa what should i do.? I hav t wait
Nimekuelewa sasa mwanzoni ulivyomjibu mdau nikajua umeamua kuvuta tu. Ila itabidi ujitahidi kuwahi kwani jamaa watakuacha sana. Nina best zangu pale ukihitaji msaada zaidi nione pm nikuunganishe nao. Pole sana!
karibu sana tabora mkoa wenye vumbiii na lami za kuunga unga...