LGE2024 Kama kuna aliyeenguliwa bila kufuata kanuni afuate utaratibu wa kawaida kujitetea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Mimi kama mwanakijiji nataka Mwenyekiti aliyewiva katika kuzijua kanuni mbalimbali ...sitaki mwenyekiti mshari au lialia.
Sasa kama unahisi umeonewa onesha weledi wa kupambana kupitia kanuni sio vurugu wala media.
 
Kulikuwa na sababu zipi za kufanya hivyo ili utaratibu ufwatwe aweze rejeshewa haki yake.Haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa.
 
Back
Top Bottom