Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana mkuu, natoa wasiwasiAcha uboya. Hapo hamna kesi, tena shikilia huo msimamo wako tu. Mke wanakupa bure maana hawana uhalali wala haki ya kwenda kwenye dawati la jinsia.
Hiyo ni mikwara tu ili utoe mahari wale. Ila wakijichanganya kwenda, uwe muwazi tu kwamba upo tayari kumuoa binti uhudumie mama na mtoto wako kama familia ila huna mahari.
Kesi imeisha.
Nikikusaidia kulipa 300k utakuwa na Amani? Watakuacha uishi na mkeo?Wanataka 800k, ila leo walitaka 400k au 300k sasa hivi mimi ni jobless, kuipata ni ngumu
Afu wewe?.... Huku kulipiana mahari ni pagumu ndugu, ukija kudai afu iwe sina, heeeeeee... Utaskia nionyeshe nyumbaniNikikusaidia kulipa 300k utakuwa na Amani? Watakuacha uishi na mkeo?
Changamoto inakuja kwasasa sina kazi mkuu, hivyo sina kipato chochote kile... Na kuhusu mke hana tatizo, tatizo ni wazazi wake tuHapo hamna mke mkuu
Usiingie hofu yoyote hapo hakuna kesi ya jinai ya kukufunga
Jitahidi sana kupeleka matunzo kwa kadiri utakavyo jaaliwa usiache
Sana sana watakupeleka ustawi ambapo utapangiwa hela ya kutoa kwa mujibu wa kipato chako
Mkuu hiyo sio familia ya kuoa
Acha uoga mkuu.Afu wewe?.... Huku kulipiana mahari ni pagumu ndugu, ukija kudai afu iwe sina, heeeeeee... Utaskia nionyeshe nyumbani
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sio kazi ya dawati kuingilia hisia na mambo ya kifamilia.Acha utani... Sasa wafukuzwe kwanini mkuu?
Daaaahhhhhh, ibwana weee... Afu USTAWI WA JAMII na DAWATI... ni kitu kimoja au wako tofauti?Sio kazi ya dawati kuingilia hisia na mambo ya kifamilia.
Kazi ya dawati ni kuangalia walio vunja sheria kati ya mahusiano au ndani ya ndoa ama ke na me.
Mimi nilikutana na changamoto tano (5) zinazo taka kufanana na zamleta mada, kuna zilizo elekezwa dawati, mahakamani, ustawi na zote nilizinawa
Ustawi wanaangalia zaidi haki za mtoto na sio wazazi.Daaaahhhhhh, ibwana weee... Afu USTAWI WA JAMII na DAWATI... ni kitu kimoja au wako tofauti?