Uchaguzi 2020 Kama kuna chombo cha habari kinachoandika habari za Lissu, naomba nitajieni

Uchaguzi 2020 Kama kuna chombo cha habari kinachoandika habari za Lissu, naomba nitajieni

Radio, magazeti na Tv ni habari za CCM tu na sio vyama vingine. Kwa vyovyote hii ni amri toka 'juu' Huu ni woga na ishara mbaya mbaya sana kwa CCM
 
Hakuna Mzalendo yeyote anaye weza kuandika habari za msaliti mkuu wa Taifa la Tanzania. Ni vikaragosi tu vya msaliti huyu kama wewe ndio vina huu uthubutu wa kiwendawazimu wa kusaidiana na Lissu katika usaliti wake.
 
Na pia nisaidieni kufahamu ni nani kazuia Lissu kutosemwa popote!?

Nimefuatilia magazeti kote kimya. BBC wakianza report habari zake sauti inakuwa muted.

Hii ni hatari kubwa.
Bado unafuatilia hivyo vyomba vya habari?
 
Back
Top Bottom