P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Sep 1, 2020 #21 Radio, magazeti na Tv ni habari za CCM tu na sio vyama vingine. Kwa vyovyote hii ni amri toka 'juu' Huu ni woga na ishara mbaya mbaya sana kwa CCM
Radio, magazeti na Tv ni habari za CCM tu na sio vyama vingine. Kwa vyovyote hii ni amri toka 'juu' Huu ni woga na ishara mbaya mbaya sana kwa CCM
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 13,741 Reaction score 13,049 Sep 1, 2020 #22 pilipili kichaa said: radio, magazeti na Tv ni habari za ccm tu na sio vyama vingine. Kwa vyovyote hii ni amri toka 'juu' Huu ni woga na ishara mbaya mbaya sana kwa ccm Click to expand... Je watu wanasikiliza hizo redio naTV??
pilipili kichaa said: radio, magazeti na Tv ni habari za ccm tu na sio vyama vingine. Kwa vyovyote hii ni amri toka 'juu' Huu ni woga na ishara mbaya mbaya sana kwa ccm Click to expand... Je watu wanasikiliza hizo redio naTV??
S Shehullohi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2020 Posts 3,753 Reaction score 3,685 Sep 1, 2020 #23 Hakuna Mzalendo yeyote anaye weza kuandika habari za msaliti mkuu wa Taifa la Tanzania. Ni vikaragosi tu vya msaliti huyu kama wewe ndio vina huu uthubutu wa kiwendawazimu wa kusaidiana na Lissu katika usaliti wake.
Hakuna Mzalendo yeyote anaye weza kuandika habari za msaliti mkuu wa Taifa la Tanzania. Ni vikaragosi tu vya msaliti huyu kama wewe ndio vina huu uthubutu wa kiwendawazimu wa kusaidiana na Lissu katika usaliti wake.
T tobiasi JF-Expert Member Joined Aug 6, 2014 Posts 537 Reaction score 486 Sep 1, 2020 #24 blogger said: Na pia nisaidieni kufahamu ni nani kazuia Lissu kutosemwa popote!? Nimefuatilia magazeti kote kimya. BBC wakianza report habari zake sauti inakuwa muted. Hii ni hatari kubwa. Click to expand... Bado unafuatilia hivyo vyomba vya habari?
blogger said: Na pia nisaidieni kufahamu ni nani kazuia Lissu kutosemwa popote!? Nimefuatilia magazeti kote kimya. BBC wakianza report habari zake sauti inakuwa muted. Hii ni hatari kubwa. Click to expand... Bado unafuatilia hivyo vyomba vya habari?