Kama kuna eneo ambalo unalijua na una fikiri linafaa kwa biashara ya stationery, niambie

Snowden E

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,668
Reaction score
2,908
Ninaishi Dar es Salaam na nina vifaa vya stationery vifuatavyo:

Photocopy machine 1
Printer 1
Lamination machine 1
Binding machine 1
Computer 1

Maelezo.
Vitu vyote hivyo kwa sasa havitumiwi baada ya biashara kufungwa kutokana na kukosa wateja.
Now nipo natafuta sehemu sahihi ambapo nitafungua biashara kwa mara nyingine.

Hivyo basi, kipindi hiki ambapo natafuta location ya biashara, natumia muda huu kuwaomba member wa JF wanisaidie pia.

Ombi langu ni 'kama kuna eneo ambalo unalijua na una fikiri linafaa kwa biashara ya stationery, please niambie ili nifanye mpango wa kupafanyia utafiti pia'

Eneo lazima liwe Dar es Salaam.
 
Tembelea maeneo yote jaribu na vyuo au hostel za wanachuo ..usikae ndani ingia mtaani cheki location.

NB:subiri warudi toka mikoani maana sasa vyuo wamefunga


It is never to late to begin. Start now
 
Mimi pia ninamishe kama hiyo ngoja tusikilize wadau

phat_07
 
Check pm
 
Mbezi mwisho stand Kuna uhitaji mkubwa wa huduma hizi. Nicheki kwa 0713039875 Nina frem nimelipia hadi june tuone partnership
 
Eneo lipo karibu na chuo cha UDSM na mabibo hostel in between (Riverside) kodi 300,000/= kwa mwezi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…