Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Ninaishi Dar es Salaam na nina vifaa vya stationery vifuatavyo:
Photocopy machine 1
Printer 1
Lamination machine 1
Binding machine 1
Computer 1
Maelezo.
Vitu vyote hivyo kwa sasa havitumiwi baada ya biashara kufungwa kutokana na kukosa wateja.
Now nipo natafuta sehemu sahihi ambapo nitafungua biashara kwa mara nyingine.
Hivyo basi, kipindi hiki ambapo natafuta location ya biashara, natumia muda huu kuwaomba member wa JF wanisaidie pia.
Ombi langu ni 'kama kuna eneo ambalo unalijua na una fikiri linafaa kwa biashara ya stationery, please niambie ili nifanye mpango wa kupafanyia utafiti pia'
Eneo lazima liwe Dar es Salaam.