Kama kuna homa mpya na mimi ilinipitia. Ukiona una dalili nilizopata tumia tiba hizi, weka ubahili pembeni

Kama kuna homa mpya na mimi ilinipitia. Ukiona una dalili nilizopata tumia tiba hizi, weka ubahili pembeni

Kuna homa kweli, home wote tuliumwa wiki moja, majirani waliumwa pia, kuna rafiki yangu wa mbali naye aliniambia anaumwa, kifua kubana, sauti kukauka, mafua makali sana, baridi na kukohoa, mimi binafsi familia tulikunywa maji sana, kukaa juani kiasi na mchanganyiko wa limao na kitunguu
 
Yaani unatumia tumia tu dawa kiholela na wakati huo hujui hata unasumbuliwa na tatizo gani?

Uzi wako unapaswa uwe, tusitumie dawa kiholela...
 
Sasa na AZUMA ulimeza ya nini? Kapimr na ukimwi bana we badala ya kwenda hospital unabugia madawa tu hapo usipopona utahamia kwa mganga wa kienyeji then useme umerogwa. Ujinga mwingine ni wakujitakia. Hadi AZUMA??? Dah
 
Back
Top Bottom