Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stress ni kitu mbaya sana, inakosesha raha, inakosesha amani, na kabisa huwezi pata utulivu wala usingizi ingawa umechoka sana 🐒Bila kufika saa sita au saa saba bado sijapata usingizi, hata nikilaximisha kulala saa tatu au nne, usingizi hauji, na ukija, saa sita nitashtuka hapo ni mpaka majogoo ndo nisikie usingizi.
Ila saa hizi kuna mtu amekoroma muda mrefu sana
Leo hujalia , sio kila kazi ni ya kuamka saa 1 asubuhi, wengine tunaanza usikuAaah!!! afu ukilala huo muda unaamka saa ngapi mkuu?
Maana kuna watu watakuja kusema unakaa kwa shemeji unaamka saa 5 asubuh ushatengewa chai usiwasikilize hao mkuu nakupa tahadhari mapema
Uwe unalala weweI mean no malice to nobody
Kaka narekebisha mipango, si una jua kuwa billionaire lazima ukaze msuli wa kengele ndogoUwe unalala wewe
Oya acha show off mwanetu, jobless naona wivu na hasira kinyama🤒KWangu miki kulala na kuamka inategemeana na mambo mengi sana kama:
1. Niko wapi?
Mfano wiki hii nimekuja iringa home, hapa nyumbani yuko baba mama na sister. Dinner inaliwa saa 1 jioni. Washkaji wa utoton wote hawapo na mimi sio mzururaji kwahiyo saa 2 kasoro tayari niko kitandani.
But nikirud jijini, saa 3 naweza ndio nikawa natoka kwenye harakat za maisha. Nyumban naweza ingia saa 5 kulala yaweza kuwa saa 6.
2. Nina majukum gani?
Nikiwa mikoani mara nyingi ni kwaajili ya kufanya marketing and sales kwahiyo siku yangu inakua engaged sana na vikao na hiv ni katika masaa official kwalua na deal na wateja ambao ni taasisi so mara nyingi saa 10 nimemaliza vikao. So nikiwa nje ya Dar nalala mapema sana na kuamka mapema
Nikiwa jijin mara nying ratiba inani engage zaid kwenye desk jobs zaid so nashinda kwenye laptop muda mwingi na hii sasa haijalishi nimeamua kuingia ofisn au kufanyia kaz home, hapa huwa nafanya kaz muda mrefu so hata muda wangu wa kupumzika ni mchache.. nawe amka saa 10 alfajiri kulala saa 6 usiku..
Kwakifupi kwangu mazingiira na majukum katika mazingira husika ndio ju determine nalala saa ngap na naamka saa ngap!!
Yah ni kwel.Kaka narekebisha mipango, si una jua kuwa billionaire lazima ukaze msuli wa kengele ndogo
Napiga selfie 3 za chap chap😄😄Uwe unalala wewe
Mbona niliwahi kupiga zaidi ya 30 mkuu! Sema kipindi hicho maji kwangu yalikuwa Azam Energy,madhala yake sijui, minimum zilikuwa 4 kwa siku. Ilikuwa nikinywa,chupa situpi. Alinitembelea mtu alivyoziona,alishangaa,na ndo nikajua chanzo kilikuwa hicho.Hizo tano ni nyingi sana mkuu ,
Ningesha kufa kitambo😄🤣Haijalishi..lazima uwe na muda wa kuamka.
Maana unaweza ukalala saa 6 halaf ukaamka saa 4 asubuh..
Sasa wewe huna tofauti na anayelala saa 2 au saa 3 akaamka saa 12 asubh.
Na ikumbukwe kulala muda mfupi ninhatar kwa afya.