sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
- Thread starter
- #21
kwani wanaolala saa mbili wanashida gani?Haijalishi..lazima uwe na muda wa kuamka.
Maana unaweza ukalala saa 6 halaf ukaamka saa 4 asubuh..
Sasa wewe huna tofauti na anayelala saa 2 au saa 3 akaamka saa 12 asubh.
Na ikumbukwe kulala muda mfupi ninhatar kwa afya.