Kama kuna jambo limenishinda, ni kulala mapema

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Bila kufika saa sita au saa saba bado sijapata usingizi, hata nikilaximisha kulala saa tatu au nne, usingizi hauji, na ukija, saa sita nitashtuka hapo ni mpaka majogoo ndo nisikie usingizi.

Ila saa hizi kuna mtu amekoroma muda mrefu sana
 
Stress ni kitu mbaya sana, inakosesha raha, inakosesha amani, na kabisa huwezi pata utulivu wala usingizi ingawa umechoka sana 🐒
 
Umeongelea muda unaolala tu ila haujatuambia muda unaomka.

Unaamka saa ngapi?

Ukiamka huwa unakuwa active na shughuli gani?

Muda wa kulala huwa unakuwa umechoka au unakuwa kawaida?

Umeajiriwa au kujiajiri?
 
Wengine siku 3 hadi 5 unawinda usingizi kwa tochi,hakuna. Bora wewe saa saba unaupata. Mi huwa najiulizaga kwa nini,sielewi.
 
Umeongelea muda unaolala tu ila haujatuambia muda unaomka.

Unaamka saa ngapi?

Ukiamka huwa unakuwa active na shughuli gani?

Muda wa kulala huwa unakuwa umechoka au unakuwa kawaida?

Umeajiriwa au kujiajiri?
I am my boss
 
Oya acha show off mwanetu, jobless naona wivu na hasira kinyama🤒
 
Hizo tano ni nyingi sana mkuu ,
Mbona niliwahi kupiga zaidi ya 30 mkuu! Sema kipindi hicho maji kwangu yalikuwa Azam Energy,madhala yake sijui, minimum zilikuwa 4 kwa siku. Ilikuwa nikinywa,chupa situpi. Alinitembelea mtu alivyoziona,alishangaa,na ndo nikajua chanzo kilikuwa hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…