Kama kuna kijiji sijakitaja mniambie🤣🤣

Kama kuna kijiji sijakitaja mniambie🤣🤣

Murugwanza
Mkididi
Kashinga
Kabanga
Buhororo
Bugarama
Nyamiyaga
Mrusagamba
Benako
Rukole
Rulenge
Muganza
Asante sana.
Hivi ni vijiji wilayani Ngara.
Kuna Mkididili siyo Mkididi. Ngara kuna Lukole. Rukole iko Karagwe. Benako si kijiji. Benako ni mji maarufu. imo ndani ya kijiji cha Rwakalemera.
 
Back
Top Bottom