D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Dec 31, 2024 #41 ngara23 said: Murugwanza Mkididi Kashinga Kabanga Buhororo Bugarama Nyamiyaga Mrusagamba Benako Rukole Rulenge Muganza Click to expand... Asante sana. Hivi ni vijiji wilayani Ngara. Kuna Mkididili siyo Mkididi. Ngara kuna Lukole. Rukole iko Karagwe. Benako si kijiji. Benako ni mji maarufu. imo ndani ya kijiji cha Rwakalemera.
ngara23 said: Murugwanza Mkididi Kashinga Kabanga Buhororo Bugarama Nyamiyaga Mrusagamba Benako Rukole Rulenge Muganza Click to expand... Asante sana. Hivi ni vijiji wilayani Ngara. Kuna Mkididili siyo Mkididi. Ngara kuna Lukole. Rukole iko Karagwe. Benako si kijiji. Benako ni mji maarufu. imo ndani ya kijiji cha Rwakalemera.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 1, 2025 #42 Inapendeza... Cc: Mahondaw