Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ni vyema timu ya wananchi ikajulishwa Kama kunakuwepo na makombe yanayoeleweka ili waende kuyabeba kwani wamethibitisha ubora wao kwenye eneo ilo!
Timu kubwa siku zote inabeba makombe na timu ndogo inakamia mechi, Azam ilishachagua kukamia mechi pindi wanapocheza na yanga lakini wakicheza na Simba unashangaa hii ndio Azam au ni kopy yake Yani wanafungwa kirahisi sana na wanacheza mpira utafikiri ni timu ya daraja la 4 uko!
Prince dube alikuwa sahihi 100% mchezaji anayejitambua na anayetaka mafanikio awezi kubaki Azam kwa maana ni timu isiyokuwa na malengo inakamia mechi moja ya yanga alafu mechi nyingine inagawa pointi kipuuzi, viongozi wao wakifungwa na yanga wanaumia sana lakini wakifungwa na Simba wanaenda kusherekea ni ujinga wa kiwango Cha lami!
Sasa yanga aiwezi kucheka na kima ni kuwababua tu mtu na shoga yake mpaka akili ziwakae sawa!
NB ; KAMA TIMU YAKO INACHEZA SHIRIKISHO NI BORA UKAKAA KIMYA