Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Ukiwshajua itakisaidia nini?Habari za majukumu.... natumaini wewe ni mhusika ndomaana umefungua post hii, swalilangu ni Je, umewahi kwenda kuwanga ukiwa na smartphone au tablet yako? Kipindi unasafiri na ungo kuelekea huko uendako ulipata muda wa kuperuzi Jf au ktk mitandao mingine? Unapokuwa angani network haisumbui? Ahsante.
Nimejua kitu cha maana kumbe mambo ya kuwanga au we mchawi nini? Unataka kwenda na smartphone yako kurekod matukio Hebu acha kutuletea mada za kichawi Sie tumelala sahizHabari za majukumu.... natumaini wewe ni mhusika ndomaana umefungua post hii, swalilangu ni Je, umewahi kwenda kuwanga ukiwa na smartphone au tablet yako? Kipindi unasafiri na ungo kuelekea huko uendako ulipata muda wa kuperuzi Jf au ktk mitandao mingine? Unapokuwa angani network haisumbui? Ahsante.
Mbona vijana wa kileo mnapenda sana kumjua shetani kuliko kumjua mungu,Habari za majukumu.... natumaini wewe ni mhusika ndomaana umefungua post hii, swalilangu ni Je, umewahi kwenda kuwanga ukiwa na smartphone au tablet yako? Kipindi unasafiri na ungo kuelekea huko uendako ulipata muda wa kuperuzi Jf au ktk mitandao mingine? Unapokuwa angani network haisumbui? Ahsante.
Utalazwa chini.Wachawi wote mafala tu
Kama unamaanisha hizi simati za kawaida na hii Jeiefu umefeliHabari za majukumu.... natumaini wewe ni mhusika ndomaana umefungua post hii, swalilangu ni Je, umewahi kwenda kuwanga ukiwa na smartphone au tablet yako? Kipindi unasafiri na ungo kuelekea huko uendako ulipata muda wa kuperuzi Jf au ktk mitandao mingine? Unapokuwa angani network haisumbui? Ahsante.
isipokuwa mimiWachawi wote mafala tu