Kama kuna mchawi humu aje kunijibu swali hili please

Kama kuna mchawi humu aje kunijibu swali hili please

no need of smartphone / special device ..... can bring all info at a speed of light.
 
Kama unamaanisha hizi simati za kawaida na hii Jeiefu umefeli
Kule kuna simati zake Jeiefu yao wasapu insta hata badoo na fesibuku kuna magrupu pia na watu wanachat na kupeana habari Kama kawa
-kuna nini kipya sokoni
-njia gani iko clear
-nani kapata ajali nk nk
Teheeteheeee....... Mkuu mshana jr nataka kutafuta mchumba kupitia Badoo ya kichawi.
 
Ungo ni sawa na usafiri mwingine tu sema ungo unatumika kwenye ulimwengu wa giza tu otherwise kupepetea nafaka majumbani

Unapo drive chombo chochote unashauriwa kuwa makini zaidi sio ungo tu hata nyie mnao drive gari

Kuna mida wachawi tunajisahau tunaanza kupiga picha za kurusha whatsapp hapo ndipo balaa huanzia kama hujatunguliwa na kudondokea ktk paa la mtu basi utapoteza mwelekeo mpaka kuna kucha watu wanakuja kukushangaa
 
Do not misuse JF ur wasting our precious time........ We Utakuwa mwanafunzi tena kilaza
 
Back
Top Bottom