Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
HahhaahaaaaWachawi wote mafala tu
Teheeteheeee....... Mkuu mshana jr nataka kutafuta mchumba kupitia Badoo ya kichawi.Kama unamaanisha hizi simati za kawaida na hii Jeiefu umefeli
Kule kuna simati zake Jeiefu yao wasapu insta hata badoo na fesibuku kuna magrupu pia na watu wanachat na kupeana habari Kama kawa
-kuna nini kipya sokoni
-njia gani iko clear
-nani kapata ajali nk nk
ko we mshana n mch*w????Ndio narejea nilimuona huyo hata wakati anaandika hii post
Hapana mimi ni practionerko we mshana n mch*w????
hebu tuondolee kwikwi zako.πππUki
Ukiwshajua itakisaidia nini?
Wewe utakuwa mwalimu tena vodafastaDo not misuse JF ur wasting our precious time........ We Utakuwa mwanafunzi tena kilaza