Kama kuna member humu anaweza kuniamini nakunikopesha angalau milioni 1

Fungua akaunti ya biashara na mauzo yako yawe yanapitia benki,baada ya hapo omba mkopo.
 
Sijaelewa hapo mkuu unaweza kunielewesha, nipo tayari kama uwezekano upo
Tembelea benki yoyote,waambie unataka ufungue akaunti ya biashara yako ambapo kila mauzo utakuwa unayapelekeka...hii itawasaidia watu wa bank kujua mzunguko wako wa fedha,baada ya muda waandikie barua ya kuomba mkopo;ingawa akaunti yako itakulazimu iwe na muda mrefu kidogo.
 
Sawa mkuu ila mimi biashara yangu niyacamision naninaingiziwa camisioni yangu kila mwanzo mwamwezi
 
Ni nzuri pia,wengi tunakosa mikopo kwa sababu mizunguko yetu ya fedha haijulikani au haipitii bank;jaribu kuwaona watakusaidia.
 
Back
Top Bottom