Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
No mkuu kwenye jukwaa lauchumi na biashara inabidi mtu uwe realhttps://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1548445/ mkuu sio kwamba unataka uzamie Afrika kusini?
Tembelea benki yoyote,waambie unataka ufungue akaunti ya biashara yako ambapo kila mauzo utakuwa unayapelekeka...hii itawasaidia watu wa bank kujua mzunguko wako wa fedha,baada ya muda waandikie barua ya kuomba mkopo;ingawa akaunti yako itakulazimu iwe na muda mrefu kidogo.Sijaelewa hapo mkuu unaweza kunielewesha, nipo tayari kama uwezekano upo
Sawa mkuu ila mimi biashara yangu niyacamision naninaingiziwa camisioni yangu kila mwanzo mwamweziTembelea benki yoyote,waambie unataka ufungue akaunti ya biashara yako ambapo kila mauzo utakuwa unayapelekeka...hii itawasaidia watu wa bank kujua mzunguko wako wa fedha,baada ya muda waandikie barua ya kuomba mkopo;ingawa akaunti yako itakulazimu iwe na muda mrefu kidogo.
Ni nzuri pia,wengi tunakosa mikopo kwa sababu mizunguko yetu ya fedha haijulikani au haipitii bank;jaribu kuwaona watakusaidia.Sawa mkuu ila mimi biashara yangu niyacamision naninaingiziwa camisioni yangu kila mwanzo mwamwezi