1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Huku jana hawajakata na sasa hivi upo. Lkn am sure watakata saa 12 jioniLeo wameachia
Jana walirudisha 5 uck
Main road upande wa juuAaaaah
Karibia na Kijenga juu?
Au uko main road?
Poa mkuuMain road upande wa juu
SanaaaMakao makuu mnajidai sio
Nilijua tu lazima kuna mtu atakuja na jibu la kipuuzi kama hiliMkuu acha kulia lia hata Marekani umeme tatizo sembuse bongo?? Huku Dar sisi shwarii
Ndugu msomaji, Dodoma hakuna tatizo la umeme kabisa.Unatembea mitaa yote ya Dodoma?! Kuna wakati nilienda Dar es salaam na kule nilikofikia ilikuwa kila wiki lazima wakate umeme siku za Jumanne lakini maeneo mengine umeme ulikuwa kama kawaida. Hata hivi sasa, huko wanakolalamika suala la umeme haimaanishi maeneo yote, kwa sababu ndivyo inavyokuwa; leo huku, kesho kule. Mwanzoni nilidhani ni Temeke tu kwavile Temeke na kwenyewe wanaonewa sana. Cha ajabu jana, Flavian Matata akawa analalamika kama alivyolalamika mdau hapo juu. Imeniwea ngumu kuamini kama Flaviana nae anaishi Temeke.
Hoja ya msingi ipo hapo, kwamba eneo unaloishi wewe umeme ukikatika basi taasisi zote kubwa kunakuwa hakuna umeme!!! Hiyo sio Dodoma tu bali mji wowote ule. Ukiwa na bahati mkawa kwenye line ambayo inasambaza umeme kwenye taasisi nyeti za serikali, hapo mgao utafanya kuuisikia tu, na ukiona umeme umekatika basi ni tatizo la kiufundi!!!Umeme ukikatika eneo ninaloishi ina maana taasisi zote kubwa za kiserikali nazo zimekosa umeme wa Tanesco!
Tangu mwaka huu uingie nimeshuhudia umeme ukikatika mara mbili tu tena kwa sababu ya matengezo kuna muda hadi tunatamani ukatike.
Mimi naishi Tegeta na kila siku umeme unakatwa ama sio Dar hapa? 😂😂Mkuu acha kulia lia hata Marekani umeme tatizo sembuse bongo?? Huku Dar sisi shwarii
Na still umeme haukatiki kwao,means sisi tunatumia kiwango kidogo sana kwa siku moja lkn bado tunashindwa kuzalisha hicho kiwangoNilijua tu lazima kuna mtu atakuja na jibu la kipuuzi kama hili
Hivi una habari kuwa kiwango cha umeme wanachotumia marekani kwa siku moja ni sawa na kiwango cha umeme tunachotumia sisi kwa miaka nane
Muulize mkazi yeyote wa Dodoma akwambie umeme umekatika lini mtaa anaoishi jibu atakalokupa screenshot it post hapa.Hoja ya msingi ipo hapo, kwamba eneo unaloishi wewe umeme ukikatika basi taasisi zote kubwa kunakuwa hakuna umeme!!! Hiyo sio Dodoma tu bali mji wowote ule. Ukiwa na bahati mkawa kwenye line ambayo inasambaza umeme kwenye taasisi nyeti za serikali, hapo mgao utafanya kuuisikia tu, na ukiona umeme umekatika basi ni tatizo la kiufundi!!!
Kuna watu wameibuka kwa kasi kusema umeme ulikuwa haukatiki awamu ya 5 sasa hii ilikuwa ni awamu ipi?Wakuu Salaam;
Hivi Serikali mnaona aibu gani kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme nchini?
Kila siku mnakata umeme mnarudisha muda mnaotaka, jana mmezima kuanzia asubuhi mkarudisha jioni na leo mmeuacha kuanzia asubuhi mmekata tena jioni hii!
Hii nchi ni maskini bado, tusiaminishane kila kitu mnaweza, kama Umeme ni wa mgao si mseme tu, shida iko wapi?
Mficha uchi hazai.
Rais wewe ndiye unasimama na kipaza sauti kusema mambo yako safi! Safi kwa mgao?
Kiukweli mama anasemwa vibaya saaaana ila ye haelewi anajiona anapendwa saaaana kumbe anajengewa maadui ili 2025 aondolewe kilaini,umeme unakatika muda wwt bila taarifa ila wakati wa JPM haikuwa hvy,akina msigwa wanamkebehi, washauri wa mama hawamwambii ukweli,ila muda utasema labda ashtukie huu mchongo anaofanyiwa ila atajuta siku akizomewa kampeni zikianza,ashughulikie kero za watu wa chini atembee km JPMWakuu Salaam;
Hivi Serikali mnaona aibu gani kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme nchini?
Kila siku mnakata umeme mnarudisha muda mnaotaka, jana mmezima kuanzia asubuhi mkarudisha jioni na leo mmeuacha kuanzia asubuhi mmekata tena jioni hii!
Hii nchi ni maskini bado, tusiaminishane kila kitu mnaweza, kama Umeme ni wa mgao si mseme tu, shida iko wapi?
Mficha uchi hazai.
Rais wewe ndiye unasimama na kipaza sauti kusema mambo yako safi! Safi kwa mgao?