Kama kuna mtu aliingia gest akafanya hivi nawaza mara mbili mbili IQ yake inawaza nini

Yaani umetumia simu na wire kufunga miguu na kichwa.

Halafu ile handle ya kuongelea ukaiweka as if jamaa alikuwa akitaka.kupiga simu wapi sasa...au reception?

Hii ukiitafsiri kwa haraka utaona kama kituko ila kuna fasihi kubwa mno
 
Huyu jamaa amenikumbusha movie moja matata ya jamaa akiiba kwenye ATM.
 
Ni kitendo cha kiwango cha ki mauaji

Si kila mtu anaweza kawaza haraka haraka hili.

View attachment 2981941


Yaani hapa ataitwa meneja au polisi au mjumbe.

Sio jambo dogo.

Sasa watakuwa wamekuudhi au unawachezea tu??
Atakuwa mpalestina huyo. Halafu hapo siyo bongo kwasababu ya hiyo heater.
 
[emoji847][emoji847][emoji847] Unawachangamsha wasikae kinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…