Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

You do not seem to understand what I am talking about. Naomba nieleweke,sijasema Climate Change haipo,ipo na hata mimi naiona!Ugomvi wangu ni nani anasabisha na kunyooshewa kidole.Anayenyooshewa kidole ambaye ni Mwanadamu in principle sio yeye anayesababisha mabadiliko ya hali ya hewa.Anasingiziwa ili kuhalalisha njama ovu za kumpunguza duniani.Msikilize Bill Gates kwenye clip hii⏬ anachosema on population.



 
Huyu Bill Gates umekuwa ukimtuhumu sana kwa mengi japo ushahidi haujitoshelezi.
 
Huyu Bill Gates umekuwa ukimtuhumu sana kwa mengi japo ushahidi haujitoshelezi.
Tatizo sio wewe brother,tatizo ni kwamba to you he has been portrayed as a philanthropist for too long,sasa hiyo imejengeka akilini mwako,and that is how they hide their evil.Mkuu there is so much evidence that Bill Gates is evil beyond imagination.Hata hii clip niliyoleta inaonyesha he is evil kwa mtu ambaye ni open minded na ana independent mind.

I am sorry kwamba sitajitahidi kuonyesha kwamba Bill Gates ni evil kwa kuwa hapa hapa JF tume-discuss sana hii issue na tumeonyesha all the evidence that he is a psychopath,murder and eugenist kama alivyokuwa baba yake.
 
Dunia haijiendei tu na hakuna binadamu master-mind wanaoiendesha dunia zaidi ya wanasiasa, wavumbuzi, wanasayanzi, wafanyabiashara, matukio ya asili, milipuko ya magonjwa, njaa, vita, masoko n.k
Jibu lako mbona linapingana na maelezo yako.
Unakataa hakuna mastermind at the same time unakili wapo ila ni wanasiasa, wavumbuzi n.k, kwan mi nimesema ni machinga?
Nikuelewaj hakuna au wapo? kuwa consistency.
Nan anayesukuma ajenda hizo wanazozifuata wanasiasa, wavumbuzi na wanasayansi na kwa interest za nan?
NB: unamfedhehesha huyo uliyemuweka kwenye avatar ikipendeza umtoe.
 
USA Kwani akitawala Dunia KUna ubaya gani?? anaeiwezesha USA kutawa ni nani?? si Mungu au!!! Ok! hiyo ni kawaida mwenye hela ndiye anaongoza maamuzi ya kifamilia km kaka weye huna hela kaa kulee! na uridhike!

Misri ilipotawala Dunia MLIONA Sawa! UK, Mesopotamia,ugiriki hamkusema hovyo km mnavosema Leo!! waacheni watawale!!! well shetani atatawala!! ndiyo kwani yeye pia kaumbwa na nani?? mpaka anyimwe kutawala??

kwanza mwenzenu Devil aliwahi kaa mbinguni, na Mungu walikuwa wanatias tory km kawa!! weye mmakonde na sress zako utamtisha nini shetani? ? some times hata mbinguni huenda usiende!? msiyakuze haya mambo kibinadamu zaidi!!

mtuache tule Bata zetu!! tumechoka na vitisho vya wasabato! sasa sie wala bata mtatukuta mbinguni!! weyey unae sali sana utakosa kutubu!! nani zaidi?
 
Statement hii ⏩ USA Kwani akitawala Dunia kuna ubaya gani⏪, inaonyesha how ignorant you are.Brother Marekani na Uingereza ndio vinara wa agenda za Shetani.Kwa mtu intelligent na diagnostic,hahihitaji kuambiwa kwamba there is something unusual about the US,na infact the Western Alliance.Brother bado makucha halisi ya Shetani hayajakunjuliwa yakiwakilishwa na serikali za nchi za magharibi yakiongozwa na Marekani.Tunacho ona sasa Australia,Britain,Belgium na Canada is a tip in the iceberg,more is yet to come,matumbo yata-uma.
 
Ignorance is the Bliss!! Akili za kuambiwa changanya na zako!!! habari za ufunuo si za siku za leo!! hayo unayofikiria tuliimbiwa sana tukiwa drs la pili!!! kale sana kuhusu Nabii Daniel! na ufunuo yoote.

sasa km USA ni taifa la shetani ni sawa!! kwani si na yeye aliumbwa na Mungu! na ndo huyohuyo kampa huo utawala! tahudi jeusi ukapewa israel okapoteza sasa unalia nini? tena mwenzako shetani aliwahi ishi nae huko mbinguni, kuliko weye mla vihepe vya mbagala! Mitaa ya mbinguni shetani humwambii kitu!

Well! Unaogopa nini kwani! km shetani akitawala?? huyu anatawala humu Duniani mpaka kesho, make alipewa na Mungu hakumnyanganya baada ya uasi ule! Mkuu wa Ulimwengu una mjua lkn au naongea na na mtoto mdogo?........

sasa km ndo mkuu wa ulimwengu wewe uliyemo lazima utii yaliyomo!! Mungu si mali ya weusi pekee!! au binadamu pekee!! no!! na shetani na kundi lake pia yumo!! hata yeye anamuomba Mungu ambariki halali!

tena anapiga sala kuliko weye! kuna viumbe wengine huko sayari nyingine ambao pia hawakuasi! ana wajua kule hatii mguu!

Israel Mungu aliwaambia msiponiabudu niyanyanyua mawe yata niabudu! kuogopa utawala wa shetani ni ufinyu wa akili, inabidi usimame umkabili uishi nae umjue! siyo kutisha watu! kwanza USA atawale mara ngapi?? jua ina kuja china! sasa!

Usi mu undermine shetani Blindly!! yule ni Malaika wa nuru!! ktk hili Mungu hakulipunguza hata kidogo! kwa akili zako akikutokea utaamini ni Malaika wa Nuru kifupi yuko smart!!! mbinguni hakikai kibovu bovu km unavodhania!

yule alikuwa ni kerubi afunikae(cherub that cover) sifa hii Duniani mtaisikia tu! hapo Mungu hakumpunguzia hata chembe ya huo urembo wake! na km huna Mungu wa kweli hutayajua haya! bali utajua shetani wa pembe mbili!

Ktk uasi wake theluthi tatu ya Malaika wali muunga nkono wee!! ukiikanyaga hii ulimwengu jua na yeye yupo.....
 
Link yake please, nataka nikajionee
 
Visababishi vya mabadiliko ya hali ya hewa ni vingi sana, UN nao huwa wanafanya tafiti si kwamba wanaongopea watu, haina haja ya kujifungia kwenye maoni ya upande mmoja tu, vyote vyaweza kuwa ni visababishi kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa, na vipo vingi zaidi ya hivyo ulivyodokeza
 
Watu wengi ni wagonjwa wa akili yaani wanaumwa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…