Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Huhabarishwi, unalishwa matangopori ya watu wa hovyo kupitia mitandao.
Naona uzi unachafuliwa kwa nguvu ili tusijue ukweli. Mleta mada wapotezee hao. Endelea kutuhabarisha.
 
Hamjui chochote, ni ujinga tu umewajaa kichwani na mnazidi kuuongeza kwa ujinga mwingi uliozagaa mtandaoni.
Ajabu ni kuwa ''amini! usiamini! mjinga wako'' anaweza kuwa Mkuru genzi wa Boss wako!! anaekulipa mshahara na kukufanya uwe km ulivo!! lkn pia Mjinga ana afadhali kuliko mpumbavu!! asiye jua kuwa hajui!! ana amini ivo na yuko comfortable kabisa!

Mjinga ni nini?
 
Hivi unajua,you are showing your stupidity.Ungekuwa na busara ungeomba uelimishwe,lakini kwa kuwa unajifanya unajua kaa na upumbavu wako.
Kuna Prof mmoja chuo aliwahi kuniambia kwamba ukiona umetoa mada au andiko na ukawa umeshindwa kabisa kuwashawishi walengwa wako hata pale unapopewa nafasi ya kufafanua zaidi basi jua kwamba hiyo mada hata wewe mwenyewe hujaielewa au hujaifanyia utafiti wa kutosha.
 
Hivi
tunachobishania ni nini?Jifanye kama hujawahi kuona wala kusikia hii taarifa.Na hivi unafikiri Jamii Intelligence maana yake nini.
Lazima akubishie kwa sababu takwimu za COP26 ni kwamba nchi ya China peke yake kwenye uchafuzi wa mazingira (emissions of greenhouse gas) inachangia zaidi ya Marekani, India na nchi nyingine kubwa za Ulaya combined.
 
Lazima akubishie kwa sababu takwimu za COP26 ni kwamba nchi ya China peke yake kwenye uchafuzi wa mazingira (emissions of greenhouse gas) inachangia zaidi ya Marekani, India na nchi nyingine kubwa za Ulaya combined.
Takwimu hizo hazina shida. Mtu diagnostic atajiuliza "nani" anachafua mazingira na kwa sababu gani.Je,kuna makusudi maovu katika uchafuzi huo?Labda pia ni muhimu kujiuliza who owns the factories.Na hata kama tumeambiwa hizo nchi zinachafua,je zinachafua kweli kwa kiwango kinachosabisha madhara tunayo yaona?Tusisahau kuwa taarifa hizo zinatoka kwa wale wale wanaotaka ku-own the weather by 2025,kwa maana kwamba wana conflict of interest.
 
Brother swala hili nimelifanyia utafiti wa ndani mno,kwa hiyo najua nilicho-present.Tatizo ni audience.Wamelishwa matango for too long kiasi kwamba wanaona this is impossible, kwa hiyo hawapokei hoja with an open mind.Audience ya namna hiyo in unpenetratable,kwa hiyo huwezi kuibadilisha.Unapoletewa hoja in lazima uipokee with an open mind,otherwise huwezi kujifunza.

Finally najiuliza,hivi kwa swala kama hili tunataka tupate taarifa kutoka wapi ili tuamini kwamba ni authentic?
 
Rotary Club na Lions Club ni charitable organizations za Freemasons brother,kwa hiyo hazina haja ya kuzitaja,we address the head which controls the arms,legs etc.
 
Akili za binadamu ziko za aina nyingi sana, aina mojawapo ni hii iliyogota katika kuamini kila kitu au matukio magumu kuyaelewa hapa duniani ni conspiracy ya aina fulani.
Mtu mwenye akili haamini kila kitu kwa kuwa kaambiwa,he/she follows it through to accertain whether it is true or not.That is me!
 
Huwa nikisoma mada Kama hii,nipitie na comments huwa nakata tamaa kbs ,acha nikasafishe shamba mimi
 
Ubishi mwingine is out of ignorance.Hebu soma hii⏬

Kazi kweli kweli! kwamba mimi hapa ndo ignorant? sawa hii haina shida ntarekebisha kujifunza ni jambo la kawaida kwangu.Hivi unajua kutumia internet vizuri? nimekuomba address ya website ya jeshi la Marekani wewe unalitea habari za bloggers wa India.Kingine aliyekusomesha Kiingreza ni nani?wenyewe wanasema, it may cause global warming,wakimanisha kwamba, possibly this will happen, based on their research or whatever means they used to reach this conclusion.

Swali la mwisho kabisa,wewe umesoma mpaka darasa la ngapi?(sio kwa nia mbaya) maana naweza nikawa napoteza mda bila kujua hapa.
 
Jamii forum kuna baazi ya majukwaa hayakutakiwa kuwa na members fulani fulani, kla jukwaa ilitakiwa liwe na watu wanaokidhi vigezo vya jukwaa hilo.

inashangaza hata humu mtu kaleta uzi wake wenye shahidi zakutosha, lkn yanatokea majitu from nowhere na kuanza kupinga pinga bila sababu, na yanayopinga ukiyaambia yatoe hoja za kueleweka zenye ushahidi kama walivyoweka wenzao, yanashindwa.

si ajabu watu bado ni vipofu wanafikra za kitoto kuzani kuwa dunia ni mahala salama , sana.

ni mengi tuliyaongea yalitimia na yanaendelea kutimia, na hata haya tuyaongeleayo yatatimia, haijarishi kuna wapumbavu na vigagura wanapinga, kupinga uwepo wa jambo, si maana kuwa hilo jambo halipo.

Acheni utoto
 
Hakuwezi kuwa na ushahidi wa kutosha kwa vitu ambavyo ni nonsense.
 
Moja ya vitu vilivyoletwa hapa kama ushahidi ni hiki hapa chini

"The US has developed a type of weapon called High Frequency Active Auroral Research Programme. HAARP strikes the upper atmosphere with a focussed and steerable electromagnetic beam," Environment Minister Anil Madhav

Read more at:

Wewe mjuzi wa mambo hebu tueleze hapa, hii ndio tovuti ya jeshi la Kimarekani kama tulivyojuzwa awali?

"ni mengi tuliyaongea yalitimia na yanaendelea kutimia, na hata haya tuyaongeleayo yatatimia," Kwahiyo ndugu wewe nawe ni kati ya wale manabii?

"si ajabu watu bado ni vipofu wanafikra za kitoto kuzani kuwa dunia ni mahala salama" kama dunia si mahala salama wewe unayeona, na mkubwa mwenzetu hapa unaongea ukiwa mbinguni au sayari ipi hiyo? Dunia si mahala salama ndio. Je, wewe ndio umehatarisha huo usalama? Kingine kwanini bado unaendelea kukaa mahala ambapo si salama, hii sio kwamba ni hatari kwa afya yako ndugu?

Lakini,mbona yanaulizwa maswali mepesi sema majibu yanatoka ndio kazi kweli kweli.Kwa mfano,niliuliza Marekani akimaliza kuangamiza dunia yeye ataenda wapi? Jibu lake sasa," wewe sio target".Kwahiyo nyie wajuzi wa mambo mnajibu hivi siku hizi?
 
Hakuwezi kuwa na ushahidi wa kutosha kwa vitu ambavyo ni nonsense.
Hebu niambie wewe unataka ushahidi wa namna gani unataka,kwa kuwa ushahidi niliotoa unajitosheleza kabisa 100%.Zipo hata patents za technologies za geo-engineering,lakini kwa ujinga huu,sina haja ya kuzileta.Mpo hapa kupotosha,sio kujifunza.
 
Wewe in mjinga!Soma original post ina ushahidi huo.Unachofanya in ujinga ule ule mliozoea agents wa NWO.Narudia tena,kwa ubishi huu wa kitoto na kijinga,ni wazi wewe sio target,soma mabandiko mengine,sio lazima hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…