Kama kuna mtu Team Wazalendo Mnatakiwa Kumlilia ni B.W. Mkapa

Now tunaye Juma Kaseja (JK)
 
Kweli na sio mzee wa msoga...
 
Kikwete ndiye Rais pekee aliyewafunga Jela Mawaziri Wawili kutoka Kaskazini kwa Ufisadi 🐼
 
Hato mapungufu ya Magufuli ndo yametufikisha hapa, muhasisi wa Uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…