Mkuu nahitqji mtu anayejua grammar vizuri ili tutengeze program za lugha ya kichaga kwa ajili ya utalii na kwa kwa ajili ya vyuo vikuu vya nje kwenye faculties za linguistics na kwa ajili ya mtu yeyote mwenye interest ya kujifunza lugha za makabila ya TanzaniaMimi sijui kichaga mkuu ila Niko competente
Kichaga unakijua mkuu? I will call you anywayMwalimu wa lugha ya Kiswahili na kingereza Nina Shahada 0699554842
Aika mbe, kotana mbeMkuu nahitqji mtu anayejua grammar vizuri ili tutengeze program za lugha ya kichaga kwa ajili ya utalii na kwa kwa ajili ya vyuo vikuu vya nje kwenye faculties za linguistics na kwa ajili ya mtu yeyote mwenye interest ya kujifunza lugha za makabila ya Tanzania
Sasa mkuu mbona unatoa code ya idea publicMkuu nahitqji mtu anayejua grammar vizuri ili tutengeze program za lugha ya kichaga kwa ajili ya utalii na kwa kwa ajili ya vyuo vikuu vya nje kwenye faculties za linguistics na kwa ajili ya mtu yeyote mwenye interest ya kujifunza lugha za makabila ya Tanzania
Naelewa vizuri. Mimi nimesoma lugha ya Kijerumani na kuifanyia kazi miaka mingi sana na nimeandika mpa vitabu kwa Kijerumani .Kijerumani pia kina DIALECTS ambazo ukienda kama Bayern (Bavaria) ukakutana na wazee unaweza usielewe wanachoongea. Ila kuna HIGH GERMAN au STANDARD GERMAN inayotumika hata mashuleni ambayo kila mtu ambaye siyo mjerumani anajifunza. Kwenye Kichaga hakuna lugha ambayo tukiongea wote tutaelewana? Maana tukisema watu wajifunze dialects zote itakuwa kazi kweli kweli. Hebu tulifanyie kazi hili.Kichaga ni lugha Pana na inatofautiana kutoka eneo Moja na lingine fafanua zaidi
Ninazo cases nyingi sana za watu wenye interest hizo. Watu wanakuja kufanya research ya lugha za warangi na wahadzabe na wasandaweAfrica nzima ina lugha za kikabila zaidi ya 1000 na zote hazina applicability yoyote nje ya umbea. Unategemea mtu gani kutoka nje aje kuwa na interest ya kujifunza lugha za makabila, tena kutoka Africa?
It doesn't matter. Hata mtu mwingine akiamua kulifanyia kazi akapiga pesa ndefu sawa tu.Sasa mkuu mbona unatoa code ya idea public
Naelewa vizuri. Mimi nimesoma lugha ya Kijerumani na kuifanyia kazi miaka mingi sana na nimeandika mpa vitabu kwa Kijerumani .Kijerumani pia kina DIALECTS ambazo ukienda kama Bayern (Bavaria) ukakutana na wazee unaweza usielewe wanachoongea. Ila kuna HIGH GERMAN au STANDARD GERMAN inayotumika hata mashuleni ambayo kila mtu ambaye siyo mjerumani anajifunza. Kwenye Kichaga hakuna lugha ambayo tukiongea wote tutaelewana? Maana tukisema watu wajifunze dialects zote itakuwa kazi kweli kweli. Hebu tulifanyie kazi hili.
Sijakuelewa mkuuBahati mbaya hakuna lugha ya kichaga kama ilivyo kwa makabila mengine kama kizaramo au kimakonde
Shukrani sana wazo lako nimelipokea na nitalifanyia kazi.Anamaanisha lugha ya Kichaga imegawanyika. Kuna kichaga cha Rombo, Maranga, Old Moshi etc. Hizi lugha zote no tofauti na wanaingiliana maneno machache. So unatakiwa kuwa specific unataka awe anajua kichaga cha wapi. Kwa lengo lako hilo nashauri utafute mtu mzima wa makamo anyejua kichaga ashirikiane na huyo mwalimu wa kiingereza/Kiswahili. Maana kwa kiazazi cha kuanzia miaka ya themanini kichaga hatukijui kiundani kivile. Tunajua tu cha kuombea maji.
Hakuna lugha moja ambayo wachaga wote wanaweza kuelewana kwayo.Sijakuelewa mkuu
Rombo pia wana lahaja zaidi ya nne tofautiHakuna lugha moja ambayo wachaga wote wanaweza kuelewana kwayo.
Kila kipande kina lugha yake,mfano kikibosho sio sawa na kimarangu,kirombo sio sawa na kimachame.
Hivyo hakuna lugha moja rasmi inayoeleweka na wachaga wote
Kichaga hakuna standard chaggaNaelewa vizuri. Mimi nimesoma lugha ya Kijerumani na kuifanyia kazi miaka mingi sana na nimeandika mpa vitabu kwa Kijerumani .Kijerumani pia kina DIALECTS ambazo ukienda kama Bayern (Bavaria) ukakutana na wazee unaweza usielewe wanachoongea. Ila kuna HIGH GERMAN au STANDARD GERMAN inayotumika hata mashuleni ambayo kila mtu ambaye siyo mjerumani anajifunza. Kwenye Kichaga hakuna lugha ambayo tukiongea wote tutaelewana? Maana tukisema watu wajifunze dialects zote itakuwa kazi kweli kweli. Hebu tulifanyie kazi hili.