Kama kuna mwana jf ananifanyia huu mchezo na akome, kama sivyo basi nina nyota ya kukaa jela 30 years.

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Wakuu,
Naandika hapa nikiwa sielewi elewi kinachoendela. Iko hivi,

Siku kadhaa zilizopita niliona kuna message PM kwangu na kiukweli nilifarijika sana baada ya kuona kuna pm kwa sababu mimi ni kati ya wale wasiopata pm kabisa humu. Nikafungua kwa bashasha kabisa kucheki ni jina la kike. Ikabidi nicheki status yake, inaonyesha ni new member, hana post wala comment hata moja, nikashikwa na wasiwasi. Ikabidi nimuulize wewe ni nani, unanifahamu? Akasema hapana, kisha akaambatanisha na picha aliyodai ni yake. Picha inaonyesha ni katoto kadoooogo sana ndo kanakaribia kuvunja ungo. Nikajiuliza inawezekanaje mtu akajoini jf kisha akamPM mtu dirrectly akiwa hamfahamu na akatuma na picha yake?

Nilioendelea kukahoji kakasema kanasoma shule fulani kako kidato cha tatu na kanaomba tuonane likizo (tulitajiana location) nikakambia muda huo mimi nitakuwa sipo huku, kakasikitika sana na kusema kamehuzunika sana kusikia hivyo.

Najua siyo busara kuweka wazi private convo humi ila nalazimika kutokana na mazingira yenyewe, hadi sasa hakajachangia chochote, ubao wa post unasoma bilabila. Hii inanipa picha huenda kuna mber ananipima imani yangu na hataki nimjue ni nani.

Ila kama ni kweli mhusika ni yeye mwenyewe huyo binti, basi basi hana nia njema na mimi kabisa, but how??????!
 
Sasa mkongwe kwann usimalizane na hako kabinti huko huko pm?
 
Back
Top Bottom