Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Sema mkuu MuogaMkuu kanataka tuition hako,hebu kahoji vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mkuu MuogaMkuu kanataka tuition hako,hebu kahoji vizuri.
Sijaomba namba, mazingira hayashawishi kabisa kitendo hicho.Mkuu kama kalikutumia namba fanya kuzi-foward maana Zombie halishibi damu.
Lete screenshot mkuu ...kuna kitu nataka kukusaidiaSijaomba namba, mazinhira hayashawishi kabisa kitendo hicho.
mkuu umeshindwa kujiongezaSijaomba namba, mazinhira hayashawishi kabisa kitendo hicho.
Kabla hahijafika atakuwa amekwisha chezea banLete screenshot mkuu ...kuna kitu nataka kukusaidia
Hako " katoto" si kasema ni N/A?Kabla hahijafika atakuwa amekwisha chezea ban
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndo maana pm zako sijibuMimi mbona Form 2 B
Wadada wa JF mmeàmua mumfate mkuu wetu PM kwa gia za kidentiAnategwa
Et eeMkuu kanataka tuition hako,hebu kahoji vizuri.
mods wanamchora tu saivi wanasubiri akijaribu kuvunja sheria (screenshot) ya vitu vya pmHalo " katoto" si kasema ni N/A?
mnamtafutia Ban huyu ndugu yetuMtaje jina . pengine ndiyo michezo yake pm kwa watu.
Vunja ukimya mtaje.
Bado Na Imani Siku Moja Utanijibu 😀😀😀[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndo maana pm zako sijibu
Vimtego hivyo....Kuna mtu mzima anakutega tu
Hahahahaha...mods wanamchora tu saivi wanasubiri akijaribu kuvunja sheria (screenshot) ya vitu vya pm