Kama kuna mwana jf ananifanyia huu mchezo na akome, kama sivyo basi nina nyota ya kukaa jela 30 years.

Kuna methali jibu lake ni tui La nazi na maziwa,kama umeikumbuka ndo ninacho maanisha

Kuwa makini huyo anaweza akawa ni mtu asiyejulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…