Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
leo nimefikisha idadi ya visichana 3 pm, lkn wamefeli kabla ya mtihaniKuna mtu mzima anakutega tu
Naunga mkono hojaMtaje jina . pengine ndiyo michezo yake pm kwa watu.
Vunja ukimya mtaje.
Amejiunga jumatatu tu, bado mgeni kabisa. Id yake bado ina makaratasi ya upya upya.Mtaje jina . pengine ndiyo michezo yake pm kwa watu.
Vunja ukimya mtaje.
sio vyema ya pm kuweka hadharaniMkuu kama kalikutumia namba fanya kuzi-foward maana Zombie halishibi damu.
Unaweza kuwa sahihi mkuu.mkuu umeshindwa kujiongeza
wewe ni verified user kwa hiyo kuna washikaji zako wanakufahamu vizuri wanakuzingua kawaida tu mkuu
mkuu kachanganyikiwa hahahahaasio vyema ya pm kuweka hadharani
kwahiyo usiogope bossUnaweza kuwa sahihi mkuu.
huu mchezo upo sana, lkn ni oldi skulimkuu kachanganyikiwa hahahahaa
Sema mkuu Muoga
mkuu anachezewa hivyo sababu kuu anatumia majina halisihuu mchezo upo sana, lkn ni oldi skuli
Et ee
hata id fake tukutana na haya akiwepo mimi, tatizo ninawahoji wanashindwa kujielezamkuu anachezewa hivyo sababu kuu anatumia majina halisi
Hahahahaha, hapana mkuu.Sema mkuu Muoga
HaaahaaaWadada wa JF mmeàmua mumfate mkuu wetu PM kwa gia za kidenti
Duuh...basi akaushemods wanamchora tu saivi wanasubiri akijaribu kuvunja sheria (screenshot) ya vitu vya pm