Kama kuna mwana jf ananifanyia huu mchezo na akome, kama sivyo basi nina nyota ya kukaa jela 30 years.

hu
huyo ni mmoja wa members wa WWT
 
Mkuu mtu akiamua kukutega mridhishe fanya vile alivokuwa anataka
Atachoka tu mwenyewe
 
Huyo ni mkongwe humu,sema katengeneza new account
 
Mimi ukiniPM sijibu chochote mpaka utaacha mwenyewe kwa mwaka naweza kujibu mtu mmoja au wawili tu.
 
Mimi namteka mtu,akiniletea maloloso. Yaani kimya kimya..... Kuchezeana akili sio kitu kizuri. Huku kunaitwa kichunguzana kizembe....
 
bwana kheri masanduku Work ... ukijichanganya tu umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…