Kama kuna mwanasimba anayeishi Dar hataenda uwanjani kuisapoti timu basi huyo ni mnafiki

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho.

Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho.

Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana kuisapoti timu.

Wachezaji wanatakiwa wajitume kwaajili yetu washabiki.
 
Miso Misondo, Benchika na kina Mangungo wakienda inatosha,....[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
We unaambiwa mwarabu anatafuta points 3 kwa Simba kesho ili kujiweka sawa kuvuka hatua inayofuata, unafikiri Simba kesho atapona kwa Mkapa? Thubutuuuuu.
 
Vipi muda huu unakipi Cha kusema? Maana muarabu kapigwa na kakoswa mengi!
 
Back
Top Bottom