William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Miso Misondo, Benchika na kina Mangungo wakienda inatosha,....[emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho.
Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho.
Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana kuisapoti timu.
Wachezaji wanatakiwa wajitume kwaajili yetu washabiki.
Upo zako na kishikwambi cha mama, hauna shida mwenyewe, hahaMiso Misondo, Benchika na kina Mangungo wakienda inatosha,....[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hivyo hivyoooo [emoji16][emoji16][emoji16]Upo zako na kishikwambi cha mama, hauna shida mwenyewe, haha
Vipi muda huu unakipi Cha kusema? Maana muarabu kapigwa na kakoswa mengi!We unaambiwa mwarabu anatafuta points 3 kwa Simba kesho ili kujiweka sawa kuvuka hatua inayofuata, unafikiri Simba kesho atapona kwa Mkapa? Thubutuuuuu.