Kama kuna njia mbadala

Redrose20

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
213
Reaction score
35
Wana JF, nina tatizo la kutopata mtoto nimechekiwa kizazi hakina tatizo halafu hedhi yangu inabadilika sana namaanisha tarehe.Tunahisi labda fallopian tubes zimeziba na ninavyosikia kusafishwa inauma sana.Ninachoomba kama kuna mtu anajua hosptal yenye kufanya kipimo cha kujua km mirija imeziba au laah bila kutolewa kizazi naomba unijuze au natural clinic yeyote.Tafadhalin jamani!
 
Kwa nini uhisi mirija imeziba?
Hospitali wamekwamhiaje
Mumeo amecheki sperm?
 
Hosptl wamenichek kizaz tu walinipiga xray kuangalia km nna tatizo,tunahic hvo kwasbb sishiki mimba cjui km kuna tatizo lingine linachangia..mme wng kipind cha nyuma alipimaga hakua na ttz labda akachek tn@badili tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…