Wana JF, nina tatizo la kutopata mtoto nimechekiwa kizazi hakina tatizo halafu hedhi yangu inabadilika sana namaanisha tarehe.Tunahisi labda fallopian tubes zimeziba na ninavyosikia kusafishwa inauma sana.Ninachoomba kama kuna mtu anajua hosptal yenye kufanya kipimo cha kujua km mirija imeziba au laah bila kutolewa kizazi naomba unijuze au natural clinic yeyote.Tafadhalin jamani!