Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji

Hujui kwamba miji inapojengwa kwa strategies nzuri hata namna ya kuprovide services kama hizo inakuwa rahisi kwa sababu Kila kitu kitakuwa na mkondo wake sahihi? Uholela nao hupelekea ugumu kwenye baadhi ya mambo sometimes..
 
Yaani nikifumba na kufumbua huwa sipati hata matumaini kama n Tz itakuja kuwa na mipango miji ya kueleweka hapo baadae.
Yaani hata mgeni akishuka pale JNIA anaanza kushuhudia mji ulivyo hovyo bila kupangika. Hadi aibu.

Na hili haliwezi fanyika bila kuwa na political will ya kurekebisha miji yetu.

Hapa ni New York, unafikiri tuna hata dalili ya kufikia huku kwa miaka 500 ijayo? Sizungumzii ukubwa wa maghorofa bali mpangilio wa mji.
Your browser is not able to display this video.
 
Hujui kwamba miji inapojengwa kwa strategies nzuri hata namna ya kuprovide services kama hizo inakuwa rahisi kwa sababu Kila kitu kitakuwa na mkondo wake sahihi? Uholela nao hupelekea ugumu kwenye baadhi ya mambo sometimes..
Mipango miji inaanzia kwenye fikra. Na huyo mwamba yupo kwenye kichaka cha comfort zone cha miji ya hovyo na ameridhika kabisa.

Nafikiri hili tatizo limeanza mbali sana haswa katika elimu yetu. Maana tunaweza kumlaumu kumbe hatambui kuwa hata kupata huduma za kijamii kwa urahisi, mipango miji ni kitu muhimu sana.
 
Hivi serekali na miji kipikilianza?
 
Nakuunga mkono Kwa hili
 
Ni kweli serikali iwe inaheshimu maeneo yaliyopangwa iwe viwanja vya wazi (parks), viwanja vya michezo, makaburi n.k badala ya kila mara kubomoa na kupuuza lengo la sehemu iliyokusudiwa.

17 August 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Gongo la Mboto waijia juu serikali



View: https://m.youtube.com/watch?v=WIQOHm-89Wk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…