Kama kuna ukweli, Hii ya Wema tuiite nini?

Kama kuna ukweli, Hii ya Wema tuiite nini?

jailesi

Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
5
Reaction score
1
attachment.php

Hii ya WEMA tuite nn...?

Drama, movie au sils....? km ni sils hii season ya ngapi? Tatizo langu kumbwa hapa hii movie haina hata PG(Parental Guidance)..
yani hata watoto wanaangalia movie hiii.... Najaribu kufikiria keshokutwa yake atakuwa wap amepanda au ameshuka?
nasikia sshv anaitwa fundi nyota *****

km ww tatizo nyota basi pita pale... Nahic ndugu yangu mr dimpoz ndio mana kajisogeza pale akiamini anatengeza nyota yake..... shame on u....
Tena nakuambia nduguyangu Itakupwelepweta.... Pengine anajaribu kufanya malipizi kwa kk etu kifimbo cheza, chapa ilale, dangote... ni kweli anamkomoa au anajimaliza mwenyewe....?

Na vp akiumizwa na huyu nn kitafuata.....? kuna lundo la wagodo zetu wanamungalia sn huyu.....

Tuende na season zijazo.....
 
Attachments

  • InstaSize_2015_1 _ 1111327.jpg
    InstaSize_2015_1 _ 1111327.jpg
    121.5 KB · Views: 5,421
Komaa na mwanao tu, ukisema serikali iingilie kati utapoteza muda.

Wema anaingiza pesa kupitia wapumbavu wenzake wanaomfwatilia wewe unalia na Parental Guidance??
 
Mada zenu wadada hizi endeleeni nazo.
 
jailesi

Hata mm nisingemuacha ntumie kama una namba yake vilak tatu tano kwa siku havinishindi.
 
Last edited by a moderator:
"wasio na akili hujadili watu,,, wenye akili kidogo hujadili matatizo,,, wenye akili hutafuta ufumbuzi (solution),,,!"
 
Usipo jadili siasa utajadili jamii au mtu.... hata siasa, elimu vtc. vimetengenezwa na watu
 
aahhhhhh,,,,,,.....ujinga........
 
attachment.php

Hii ya WEMA tuite nn...?

Drama, movie au sils....? km ni sils hii season ya ngapi? Tatizo langu kumbwa hapa hii movie haina hata PG(Parental Guidance)..
yani hata watoto wanaangalia movie hiii.... Najaribu kufikiria keshokutwa yake atakuwa wap amepanda au ameshuka?
nasikia sshv anaitwa fundi nyota *****

km ww tatizo nyota basi pita pale... Nahic ndugu yangu mr dimpoz ndio mana kajisogeza pale akiamini anatengeza nyota yake..... shame on u....
Tena nakuambia nduguyangu Itakupwelepweta.... Pengine anajaribu kufanya malipizi kwa kk etu kifimbo cheza, chapa ilale, dangote... ni kweli anamkomoa au anajimaliza mwenyewe....?

Na vp akiumizwa na huyu nn kitafuata.....? kuna lundo la wagodo zetu wanamungalia sn huyu.....

Tuende na season zijazo.....

Hawa akili zao zinafanana. Umeona wapi mwanaume halsi anajiita dimpozi…? Badala ya demu kumtombah wew unapiga piga picha kitandani, si ukenge huuu……?
 
Back
Top Bottom