Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nyie Matahira leo mnasema CCM inatawala kwa hisani ya polisi mmemsahau kauli zenu kuelekea October 29 mlijifariji kuwa Tanzania ina polisi wachache hivyo mtawadhibiti kwa mda mfupi tu.Mshauri mamaduro aache kutumia polisisiemu na wizi uone muziki wake! Mnabwabwaja wakati muda wote mna hujuma za waziwazi, mamaduro akisikia jina la Lissu anaingia uvunguni! Kila siku mnaimbishwa haiwezekani wakati wanaowaimnbisha wanahara na kuwafungia magereza, mapolishi post, macentral na majaji chawa wapo busy kutoa hukumu za kubeba chama chakavu!
Mlicheza sana na mbowe sasa hivi chadema ni imani yani, madebe yote mtapiga na hamtaeleweka
wewe unalawitiwaUmelogwa ww
Nyie Matahira leo mnasema CCM inatawala kwa hisani ya polisi mmemsahau kauli zenu kuelekea October 29 mlijifariji kuwa Tanzania ina polisi wachache hivyo mtawadhibiti kwa mda mfupi tu.
Dakika chache mkaanza kulia mkiwa mmejifungia ndani mnakunywa uji.
Tokeni tena tuwafute kabisa na hakuna cha ICC wala nyau nyau.
WAHARIBIFU wa amani ya Tanzania ni shaba tu
Wewe vipi ume prove kuwa polisi si wachache kama mlivyojazwa takataka vichwani na MANGE Kimambi?Kwa hiyo umeprove mamaduro kawekwa kwa nguvu ya polisisiemu, sina swali zaidi