Kama kuna watu serious kwenye mikoa hii basi wanicheki.

Kama kuna watu serious kwenye mikoa hii basi wanicheki.

mganga toka ufipa......tuma kwenye namba hii ( kutoka kiminyio cha NIDA na usajili wa line sasa tunapata michombezo ya zile sms penda mkekani JF)
 
Hawa madogo wa juzi juzi ndio hawakufaham mkuu CHASHA FARMING ila malegendary tunakujua vizuri!kila la kheri mkuu i wish ningekua kwenye hii project ila mambo mengi sn mkuu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu wewe Muda wote unawaza kupigwa? Usha jua ni idea gani mkuu? Acha Negativity za kijinga na za kimasikini. Acha muda wote kuwaza Negative siku moja moja waza Postive.

Aisee wabongo tunashida sana. Yaani mtu ameisha kuja na Conculusion kwamba ni utapeli. Yaani usha kuja na Majibu.

Haaaa aiseee
WaTz TUTA PIGWA SAAANA.

DESI, ESCROW, RICHMOND

Panda pesa uvune pesaaaa


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Chasha farming ni mkongwe humu , ni mdau wa ufugaji na kilimo .
Chashapoutry farm.
Angalieni maada(uzi,thread) ya kwanza iliyowekwa permanent( sticky) hapo juu.
Vijana siyo mnaropoka tuu.
Hii ni jamii forums.
 
Back
Top Bottom